Benki kuuza nyumba ya mteja iliyowekwa dhamana kwa bei ya kutupwa

Benki kuuza nyumba ya mteja iliyowekwa dhamana kwa bei ya kutupwa

Mshauri aendelee na maisha yake, maana aliye nje ndio mwenye makosa, life goes on maana alie ndani ata endelea ku apeal tu!
Vipesa kiduchu alivyo baki navyo heri atafute cha kufanya maana asipo kuwa mwangalifu mawakili watazimaliza zote walahi!View attachment 897969
Saul Godman
 
Una mawazo ya kimaskini kabisa mkuu ungejua hao unaowaona matajiri ndo wakopaji wakuu,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati mtu anatoa kauli ambayo inakupa kusimama kuendelea kujadiliana naye lolote,kwan mtu kudhania kwenda kukopa benki ni umasikini wa fikra inatosha umjue kuwa anachokisema hakijui. Angalau umejikaza wewe umemjibu bro...!
 
Sina shaka hao watakuwa ni access bank,hao jamaa 2011 walimfanyia hivi ndugu yangu mmoja mpaka sasa hana ramani alirudi kijiji anapiga gongo tu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Sina shaka hao watakuwa ni access bank,hao jamaa 2011 walimfanyia hivi ndugu yangu mmoja mpaka sasa hana ramani alirudi kijiji anapiga gongo tu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Aisee
 
kama uliweza kujenga nyumba ya milioni 50 kwa nini ulikopa.swali huwa lina nifanya nijipinde tu kama nilivo jenga ili nipate pesa
Na hapa ndipo shida ilipo - Watu hukopa benki bila kutafakari kwa kina uwezo wao wa kilihudumia deni mpaka mwisho.

Watu tujifunze kutokukopa benki kama hatuna uhakika wa jinsi tutakavyolipa madeni - vinginevyo tutaendelea kupoteza nyumba.
 
Sina shaka hao watakuwa ni access bank,hao jamaa 2011 walimfanyia hivi ndugu yangu mmoja mpaka sasa hana ramani alirudi kijiji anapiga gongo tu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mashariti yao ni rahic sana ila ukienda kinyume kidogo wanakuumiza kweli,, ...kabla ya kuchukua mkopo ni vyema kwenda kwa mwanw sheria kupata ushauli
 
Back
Top Bottom