Benki kuuza nyumba ya mteja iliyowekwa dhamana kwa bei ya kutupwa

Eeh mr,so kwako wewe hiyo nyumba ishaenda aiache tu etii. Kwa mtazamo wako kitu kinaitwa sheria hakipo ni porojo tu?
 
Eeh mr,so kwako wewe hiyo nyumba ishaenda aiache tu etii. Kwa mtazamo wako kitu kinaitwa sheria hakipo ni porojo tu?
It depends walahi
You have to choose your battles, kwa case yake inaweza kuchukua hata miaka kumi ya toil and suffering na akashindwa vile vile!
 
Karibu sana mkuu, nakutakia kila la heri.

cc Malcom Lumumba
 
“Once a Mortgage, Always a Mortgage” Haya mabenki wanapata wapi nguvu na ujasiri wa kuuza nyumba za watu kirahisi, sheria ya ardhi inayohusiana na mortagage iliishia wapi?
 
Kama jamaa aliibiwa na alitoa taarifa polisi nayo inaweza kumsaidia
Kwasababu ukiomba mkopo wa 10m hawatakupa total 10m kwasababu watakata karibia 3% ya bima kama kuna majanga yoyote yatatokea ikiwemo wizi basi bima hiyo itafidia
 
kama uliweza kujenga nyumba ya milioni 50 kwa nini ulikopa.swali huwa lina nifanya nijipinde tu kama nilivo jenga ili nipate pesa
 
“Once a Mortgage, Always a Mortgage” Haya mabenki wanapata wapi nguvu na ujasiri wa kuuza nyumba za watu kirahisi, sheria ya ardhi inayohusiana na mortagage iliishia wapi?
Mkuu principle uliyoiandika hapo ina-aply pale tu mtu atakapomaliza mkopo wake benki inapaswa kumrudishia nyumba na si vinginevyo.
 
Boss ndiyo sababu nimeanzia kwa wataalamu tulionao humu ndani ili nipate picha ya kile tunaweza tufanye..ahsante!
Kwa kuwa huku unapewa ushauri bila ya kuchajiwa,unamlostisha mwenzako mpeleke kwa Mwanasheria suala lake lishughulikiwe haraka,sio unakuja huku unadesa then unaenda kumjibu jamaa yako
 
kama uliweza kujenga nyumba ya milioni 50 kwa nini ulikopa.swali huwa lina nifanya nijipinde tu kama nilivo jenga ili nipate pesa
Biashara inao msukumo wa asili kukupeleka kukopa. Labda km huishi kwa kazi ya ujasiriamali
 
Mahakama ikibatilisha tu uuzwaji ananyang'anywa inarudi kwenye possession bank cuz ya mkopo but ownership inabaki kwa huyo ndugu/frnd wako. Alieuziwa ata-deal na bank baada ya kunyang'anywa na mahakama.
Ni ngumu mahakama kubatilisha hayo mauzo maana Mnunuzi anachukuliwa kama Bonafide purchaser kwahiyo remedy rahisi ni kulipwa fidia na bank
 
Ni ngumu mahakama kubatilisha hayo mauzo maana Mnunuzi anachukuliwa kama Bonafide purchaser kwahiyo remedy rahisi ni kulipwa fidia na bank
Chief kama proper procedure hazikufatwa then mnada unakuwa VOID AB INITIO.
 
Ni ngumu mahakama kubatilisha hayo mauzo maana Mnunuzi anachukuliwa kama Bonafide purchaser kwahiyo remedy rahisi ni kulipwa fidia na bank
Talking ov experience, tumelamba kichwa cha mtu na CRDB kulikuwa na scenario kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…