Benki nyingi ni matapeli sasa ukitaka kujua matapeli ibiwa halafu wao ndo walikukatia bima hawana mpango kukusaidiaBank waongo waongo sana...ukiwa na hela wanakudanganya ukishaweka pesa sasa ndio unaujua ukweli...hapa nina card ya NBC,NMB na CRDB..pote nilidanganywa....
Nataka niende BOT nikaulize mambo ya bond
Nilifungua hizi account zao ambazo unalipwa kila mwezi...sasa hela niliyoweka na ninayopata..unaweza kulia...Benki nyingi ni matapeli sasa ukitaka kujua matapeli ibiwa halafu wao ndo walikukatia bima hawana mpango kukusaidia
Nahisi wanalipwaMpaka sasa najiuliza wale wanaokupa maelezo kabla hujafungua account wanalipwa ukifungua?..maana ni waongo kinoma
Charges zao zikojeMkuu Mimi nimeenda equity kwa Mimi mlala hoi imenisaidia
Mkuu Mimi nimeenda equity kwa Mimi mlala hoi imenisaidia
Haya mabenki ya kibongo sijawahi kuyaamini, binafsi huwa naamini bank za nje tu.NMB wana account inaitwa Bonus account. Kabla ya kufungua account, unaambiwa kwamba unaweza lipwa interest mpaka 13%, na inalipwa kila baada ya miezi mitatu. Ukishajiunga tu, ukipata hata 2% interest kwa mwaka shukuru. Utapeli na uongo mwingi sana.
Bank waongo waongo sana...ukiwa na hela wanakudanganya ukishaweka pesa sasa ndio unaujua ukweli...hapa nina card ya NBC,NMB na CRDB..pote nilidanganywa....
Nataka niende BOT nikaulize mambo ya bond
Nilifungua hizi account zao ambazo unalipwa kila mwezi...sasa hela niliyoweka na ninayopata..unaweza kulia...
Mkuu Mimi nimeenda equity kwa Mimi mlala hoi imenisaidia
Equity bank