Benki nzuri kwa ajili ya kufungua account ya Biashara ni ipi?

Benki nzuri kwa ajili ya kufungua account ya Biashara ni ipi?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Nina hitaji kujua Benki yenye mazingira Bora kwa ajili biashara hasa ndogo nahitaji kufungua account ya Biashara.

Nazikwepa hizi Benki kubwa kama CRDB, NMB na NBC, maana hawa wana wateja wengi mno koasi kwamba wateja walala hoi ni kama hawathaminiwi.
 
Bank waongo waongo sana. Ukiwa na hela wanakudanganya ukishaweka pesa sasa ndio unaujua ukweli. Hapa nina card ya NBC, NMB na CRDB. Pote nilidanganywa.

Nataka niende BOT nikaulize mambo ya bond
 
Bank waongo waongo sana...ukiwa na hela wanakudanganya ukishaweka pesa sasa ndio unaujua ukweli...hapa nina card ya NBC,NMB na CRDB..pote nilidanganywa....
Nataka niende BOT nikaulize mambo ya bond
Benki nyingi ni matapeli sasa ukitaka kujua matapeli ibiwa halafu wao ndo walikukatia bima hawana mpango kukusaidia
 
Benki nyingi ni matapeli sasa ukitaka kujua matapeli ibiwa halafu wao ndo walikukatia bima hawana mpango kukusaidia
Nilifungua hizi account zao ambazo unalipwa kila mwezi...sasa hela niliyoweka na ninayopata..unaweza kulia...
 
NMB wana account inaitwa Bonus account. Kabla ya kufungua account, unaambiwa kwamba unaweza lipwa interest mpaka 13%, na inalipwa kila baada ya miezi mitatu. Ukishajiunga tu, ukipata hata 2% interest kwa mwaka shukuru. Utapeli na uongo mwingi sana.
Haya mabenki ya kibongo sijawahi kuyaamini, binafsi huwa naamini bank za nje tu.

Banks za ndani nazitumia kwa safari tu ili kupata urahisi wa kutoa kwa ATM,s.
 
Umeona eh! Biashara ya uongo sana siku hizi. Makato utakuja kuyajua baadae.... Ukiuliza hauambiwi. Ni majizi yaliyovaa tai.
Bank waongo waongo sana...ukiwa na hela wanakudanganya ukishaweka pesa sasa ndio unaujua ukweli...hapa nina card ya NBC,NMB na CRDB..pote nilidanganywa....
Nataka niende BOT nikaulize mambo ya bond
 
Back
Top Bottom