Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Mara ya mwisho nilienda bank nikaambiwa USD hamna! Sasa hivi mpaka TZS nazo hamna?Baada ya benki kuishiwa Dola, Sasa benki nyingi zinaishiwa shilingi.
Nini maana yake?
Je, watu wanahamisha mitaji kwenda kuitafuta Dola?
Je, mzunguko wa shilingi umezuiwa na Dola?
Je, Wafanyabiashara hawauzi bidhaa na kupata shilingi?
Je, Wafanyabiashara Sasa wanapokea dola kutoka kwa wateja Ili waweze kuagiza mizigo, kwa sababu kuagiza mzigo China lazima uwe na Dola?
Bank gani hyo hakuna Tsh?Baada ya benki kuishiwa Dola, Sasa benki nyingi zinaishiwa shilingi.
Nini maana yake?
Je, watu wanahamisha mitaji kwenda kuitafuta Dola?
Je, mzunguko wa shilingi umezuiwa na Dola?
Je, Wafanyabiashara hawauzi bidhaa na kupata shilingi?
Je, Wafanyabiashara Sasa wanapokea dola kutoka kwa wateja Ili waweze kuagiza mizigo, kwa sababu kuagiza mzigo China lazima uwe na Dola?
Bila uthibitisho uzi huu ufutweBaada ya benki kuishiwa Dola, Sasa benki nyingi zinaishiwa shilingi.
Nini maana yake?
Je, watu wanahamisha mitaji kwenda kuitafuta Dola?
Je, mzunguko wa shilingi umezuiwa na Dola?
Je, Wafanyabiashara hawauzi bidhaa na kupata shilingi?
Je, Wafanyabiashara Sasa wanapokea dola kutoka kwa wateja Ili waweze kuagiza mizigo, kwa sababu kuagiza mzigo China lazima uwe na Dola?
Dola zipo na daily zinapokelewa ila hawauzi dola zaidi ya 500 maana zipo chache hazitoshelezi mahitaji ya taifa so wanazitunza zitumike kwa mahitaji muhimu tuMara ya mwisho nilienda bank nikaambiwa USD hamna! Sasa hivi mpaka TZS nazo hamna?
Dola impacts 🤣🤣Baada ya benki kuishiwa Dola, Sasa benki nyingi zinaishiwa shilingi.
Nini maana yake?
Je, watu wanahamisha mitaji kwenda kuitafuta Dola?
Je, mzunguko wa shilingi umezuiwa na Dola?
Je, Wafanyabiashara hawauzi bidhaa na kupata shilingi?
Je, Wafanyabiashara Sasa wanapokea dola kutoka kwa wateja Ili waweze kuagiza mizigo, kwa sababu kuagiza mzigo China lazima uwe na Dola?
Dola zilizopo zintosha miezi 5, Serikali inajitahidi ku maintain isiwe chini ya hapoDola zipo na daily zinapokelewa ila hawauzi dola zaidi ya 500 maana zipo chache hazitoshelezi mahitaji ya taifa so wanazitunza zitumike kwa mahitaji muhimu tu