Usijipe hofu ndgu Kasomea Kitabu kinachoitwa The power of now E Tole Hela zenyewe hatujawahi pataBaada ya benki kuishiwa Dola, Sasa benki nyingi zinaishiwa shilingi.
Nini maana yake?
Je, watu wanahamisha mitaji kwenda kuitafuta Dola?
Je, mzunguko wa shilingi umezuiwa na Dola?
Je, Wafanyabiashara hawauzi bidhaa na kupata shilingi?
Je, Wafanyabiashara Sasa wanapokea dola kutoka kwa wateja Ili waweze kuagiza mizigo, kwa sababu kuagiza mzigo China lazima uwe na Dola?
ExactlyHili la benki kuishiwa shilingi sio kweli. Nadhani account yako ndio imeishiwa
Cashier wa benkiSource ya habari yako ni nini ?
Ukweli ni upi ?Msipike data kumchafua mama. Mama anaupiga mwingi
Usiwe sensitive sana na huyo mama yako. Hajatajwa popote na mleta uzi, lakini sijui umeamkaje unamkumbuka mama sana?Msipike data kumchafua mama. Mama anaupiga mwingi
Kama Bank wana pokea kiasi kidogo kuliko wanachotoa ni jambo zuri kwa uchumi. Pesa haipaswi kuishi bank, pesa inatakiwa ifanye kazi mtaani, na kwa wale wanao weza wanawekeza kwenye masoko ya hisa, na pesa inaendelea kuzungushwa na makampuni kwa kuwekeza kwenye miradi mikubwa au kununua hisa za makampuni mengine na hili ni endelevu.Benki kuna uhaba wa hela,cashier mmoja wa benki nimeisahau jina ameniambia kwa siku walikuwa wanapokea Bilioni 2 wanatoa Milioni 500 sasa hivi wanatoa bilioni wananapokea Milioni 500