Benki tatu kuwekwa chini ya uangalizi: Hii ni sawa na kusema baada ya miezi hiyo zitafungwa

kwa kuziweka chini ya uangalizi watu wengi watatoa pesa zao na kuzifanya zikose sifa hivyo uwezakano mkubwa zitafungwa
Absolutely yes Idofi. Yaaani labda itakayosalimika ni Tanzania Women Bank , kwakuwa nimeona kwene makala Beno Ndulu anasema NMB itaisupport. So kama NMB wameweka mkono basi ndo pona yao kwa asilimia zisizozidi 40% kwakuwa kurudisha trust kwa wateja ni ngumu sana
 
Daaaahhhh nawaonea huruma waajiriwa. Janga la tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa.
 
Kweli hii Kilimanjaro cooperative Bank ,pamoja na kuwekwa chino ya uangalizi,ninashauri vyombo vya usalama, kufuatilia hii bank, hali sio shwari hats kidogo,ikiwa Ni pamoha na kufuatilia watumishi WA hiyo bank,pamoja na meneja aliyeko na aliyestaafu. Ninakubaliana na mwendo WA serikali yangu,hakuna longo longo.
 
Mungu atusaidie
 
kama nadaiwa na Bank na imefilisika vipi marejesho ya mkopo wangu yatakuwsa je?
 
kama nradaiwa mkopo na bank iliyofilisiki vipi marejesho ya mkopo yatakuwa je?
 
Mijitu buana! Yani mpaka sahizi jitu lipo lipo tu halijawithdraw pesa zake, muambiweje muelewe, jitu kusoma halijui basi hata picha halioni! endelea tu kuzubaisha hizo milioni 50 ulizodeposit huko bank uchwara uje kuambulia (laki 5 x 3) [emoji16]. Kuna Mijitu inazipenda bank zao kama vile arsenali [emoji23] soma alama za nyakati we jitu [emoji109]
 
Ndulu alizipa ushauri community banks nchini akaziambia ziungane halafu mikoani yawe matawi say Mwanga CB, Meru CB, Mucoba,Tandahimba,nk nk lakini wakabisha ona sasa yanayowapata hizo nyingine chache zimeshikiliwa tu na mabenki makubwa kv crdb na nmb...it's time wautendee kazi ushauri wa Ndulu
 
Mbona tandahimba community bank iko chin ya uangalizi wa BOT na wamepewa crdb kuiendesha au nao crdb wamechemka???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kivyako umenichekesha sana. Huko si ndo balaa zaidi. Au bora uwe unaziona kila ukiamka
Kila ukiamka unazipapasa unatulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tunarudi ujima kwa kasi ya ajabu
 
Au wao ndo wamechangia kuipiga down? Kama ni hivyo mmmmmm
 
kama nradaiwa mkopo na bank iliyofilisiki vipi marejesho ya mkopo yatakuwa je?
Ninavyoelewa wanaifuatilia ila sasa wengi nadhani hawarudishi kwakuwa tayari unakuta Employeee washapepea. Kwahiyo kuifuatilia inakuwa kazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…