Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,297
Rudia kusoma post yanguVijijini Hakuna benk, Hakuna Atm,
Umeona mbali mkuuBodaboda ndio watakaofaidika. Pia vibaka ,pesa bandia na majambazi watarudi kwa kasi kubwa mno maana watu wataanza kutembea na hela. Tutarudi kutuma hela kwa basi.
NMB iko karibu kila wilaya hapa Tz.Vijijini Hakuna benk, Hakuna Atm,
Hii ni fursa nzuri kwenu, kwani gharama za kutoa pesa kutoka benki hasa ATM ni nafuu sana
Nimesikia taarifa isiyo rasmi kwamba pesa iliyokuwa kwenye mzunguko wa hii mitandao ya simu ilikuwa ishaipuku baadhi ya benki nchini.
Kama ndiyo tumieni fursa hii kujiimarisha hasa kwa kuja na mikakati madhubuti itakayowavutia wateja hasa maeneo ya mijini panapo patikana huduma hizi
Kwa sasa kama huna account NMB au CRDB basi bora nikufate kuliko kutuma na ya kutolea.
Kwa wakala nako si kumepanda bwasheeNMB iko karibu kila wilaya hapa Tz.
Mawakala walioko vijijini wachungulie fursa NMB na CRDB
Unafuu bado upo kwa Bank labda nao wapandishe tozo zao.
Minadani na masokoni vijijini je labda mabenk yaongeze mawakala wao vijijiniNMB iko karibu kila wilaya hapa Tz.
Mawakala walioko vijijini wachungulie fursa NMB na CRDB
Unafuu bado upo kwa Bank labda nao wapandishe tozo zao.
Hata hivyo bado wanaotumia huduma hiyo lazima waendelee japo watapungua. Hakuna namna.Minadani na masokoni vijijini je labda mabenk yaongeze mawakala wao vijijini
Hata hivi tunavyosifia sifia Huduma za Bank wanatuchora tu kudadekiUkumbuke serikali kwa sasa iko mawindoni,ikiona windo lake limehamia kwenye ATM fasta wanapandisha tozo kwani jully 2022 unafikiri ni mbaaaaaliiiiiiiii kama kule kaburini chatooooooo
Tatizo la kuisha pesa kwenye ATM nyingi za mtaani limekaribiaHii ni fursa nzuri kwenu, kwani gharama za kutoa pesa kutoka benki hasa ATM ni nafuu sana
Nimesikia taarifa isiyo rasmi kwamba pesa iliyokuwa kwenye mzunguko wa hii mitandao ya simu ilikuwa ishaipuku baadhi ya benki nchini
Kama ndiyo tumieni fursa hii kujiimarisha hasa kwa kuja na mikakati madhubuti itakayowavutia wateja hasa maeneo ya mijini panapo patikana huduma hizi
Kwa sasa kama huna account NMB au CRDB basi bora nikufate kuliko kutuma na ya kutolea.
Bora upande uber kuliko kutuma pesa.Hata hivyo bado wanaotumia huduma hiyo lazima waendelee japo watapungua. Hakuna namna.
Mimi nilivyo bahili hata kwa hizi tozo zilizokuwepo nilikuwa naona kubwa
Penye upenyo wa kuziepuka nilikuwa naziepuka
Mfano NMB unamtumia mtu laki 4 gharama ya kutuma ni bure gharama ya kutoa kwenye ATM 1000 muamala mzima unagharimu 1000 sasa kuna nini tena hapo mkuu?