Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwakweli naomba niseme tu SIMBANKIG Mobile Application ya CRDB,imekosa mvuto kulinganisha na ya washindani wao wakubwa wa kibiashara ingawa mtu unapata huduma unayohitaji kupitia hiyo App.
Kwa mtazamo wangu, tatizo ninaloliona linatokana na rangi wanazotumia CRDB ambazo ni nyeupe na kijani. Hii App yao imetawaliwa zaidi na rangi nyeupe ambayo inafanya hii application kutokuwa na muonekano mzuri.
Ushauri wangu, kama inawezekana, watumie zaidi rangi ya kijani unless kuna ugumu kwani hii inayotumika hata kuiita nyeupe bado nasita kwa jinsi inavyoonekana.
Mnaweza kuwa mmei- design vizuri, ila rangi hii ambayo hata kuiita nyeupe ni utata, ndio inaharibu muonekano mzima wa hii App yenu.Hata kuitumia ni kama unaharibu macho kwa jinsi ilivyo faint.
Jifunzeni kwa washindani wenu wa kibiashara ambao App yao kwakweli iko vizuri kuanzia design na muonekano wake.
.