Benki ya CRDB boresheni muonekano wa Mobile App yenu

Benki ya CRDB boresheni muonekano wa Mobile App yenu

Mkuu sitaki kutokuheshimu mawazo yako, lakini kama unataka best App ya kibenki basi tumia ya CRDB kwakweli ni the best banking mobile application.

#Kudos CRDB.

Huyu mwamba atakua hajaona AKIBA Mobile app... ni takataka ileee CRDB app ni fayaaaa
 
Back
Top Bottom