Benki ya CRDB yaanza kutoa mikopo ya ada Shule za Msingi na Sekondari

Ni kweli kuna ku save then kuna mambo yanapo ingiliana unatumia akiba inapofika mda unaona akiba haitosh what next?
Jitahd ku balance stories , mshahara wa ki tz hasa za wa wajiriw wa kawaid si kipato/mshahar stamilivu kbsa.
 
Siyo kweli kwani nimewasiliana na watumishi wa CRDB kwenye matawi yao zaidi ya ma4 wanadai hakuna kitu kama hicho kwani hawajapewa maelekezo hayo.

Huwa nashangaa hizi taasisi za Tz zinapizindua kitu ambacho hakipo au hakijaanza maana yake nini serikali haioni kuwa wanaleta taharuki kwa wananchi
 
hii ni indicator ya umaskini uliopo Tanzania. kwamba watu hawana uhakika wa kulipa hadi karo za wanafunzi.

Halafu rais anasifiwa kwenye kila kitu hadi ujinga
Hongoreni CRDB wale wateja wa DCB na TPB wanalalamka kidigitali hawaeleweki na kianalogia hivyo hiyo sasa wateja wao sijui wanakopaje hasa watumishi. Wenzenu wanachangamka nyie mnalala
 
Habari,

Hawa ndiyo CRDB BANK PLC wamezindua ADA LOAN ambayo haipo:-
"UMEKWAMA ADA YA SHULE AU CHUO? Pata mkopo wa ada hadi Milion 12 kupitia SimBanking App> Chagua Mkopo> ADA Loan > Namba ya malipo > Kiasi. BenkiniSimBanking"
Hivi tatizo ni nini hasa kuzindua huduma ambayo haiko tayari??



Hivi
 

Attachments

  • 2025_01_08_21.27.42.png
    952.6 KB · Views: 5
  • 2025_01_08_21.27.54.png
    846.6 KB · Views: 6
  • 2025_01_08_21.28.04.png
    781.7 KB · Views: 10
  • 2025_01_08_21.28.11.png
    728.7 KB · Views: 4
Ilikua shillingi ngapi?
 
Hujielewi nchi zilizoendelea ikiwemo Marekani watu wanaishi kwa credit card kila kitu wanakopa

Tatizo lako ulofa na huna exposure ya nje maskini mkubwa wewe na utakufa lofa na kingereza chako cha indicator
Kwahiyo mnaficha umaskini kwa kuanzisha credit economy ?
 
Hivi huko hawana taarifa kuwa hakuna ada? Ama huwa hawamsikilizi mama?
 
😀😀😀😀
CRDB waongo waongo flani hivi
 
Safi mnoo... Tukutane mwezi wa 5...
 
Nashauri tu mfumo wakulipa ada wangelipa ada ya mwanafunzi mwaka mzima na marejesho mzazi alipe mwaka mzima hadi muda wa kukopa ada ya mwaka unaofata. Riba hata ingekuwa 20% sio mbaya.
Hamkosagi lawama wabongo..khaaa...
Hivyohivyo iko poa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…