Benki ya CRDB yaanza kutoa mikopo ya ada Shule za Msingi na Sekondari

Benki ya CRDB yaanza kutoa mikopo ya ada Shule za Msingi na Sekondari

Dalili za umaskin ni kuenea kwa mikopo ya kila.namna
95% wanao kopa hyo mikopo ni watumish wa umma kwamba basic zao sio stamilivu
 
hii ni indicator ya umaskini uliopo Tanzania. kwamba watu hawana uhakika wa kulipa hadi karo za wanafunzi.

Halafu rais anasifiwa kwenye kila kitu hadi ujinga
Rais yeye si anatoa Elimu bila malipo? Huko kwenye Ada ni Mapenzi tu ya mzazi wa mtoto
 
Dalili za umaskin ni kuenea kwa mikopo ya kila.namna
95% wanao kopa hyo mikopo ni watumish wa umma kwamba basic zao sio stamilivu
Embu achaneni na basic hakuna matatizo ya kimafilia kuna misiba imetokeaa kuna kuuguliwa au kuugua kwa muda mrefu na familia inakuangalia wewe embu acheni dharau ni jambo la muda
 
hii ni indicator ya umaskini uliopo Tanzania. kwamba watu hawana uhakika wa kulipa hadi karo za wanafunzi.

Halafu rais anasifiwa kwenye kila kitu hadi ujinga
USA, EUROPE wana hili suala kitambo sana, so wao ni maskini kitambo? Hii ndio shida ya kutofanya utafiti. Umeandika kama unatafuna mahindi ya kukaanga ya moto huku umekalia spoko ya baiskeli.
 
Msiangalie ada tu anzisheni na mikopo kwaajili ya madhumuni mengine pia

Screenshot_20250107_184358_Samsung Internet.jpg
 
USA, EUROPE wana hili suala kitambo sana, so wao ni maskini kitambo? Hii ndio shida ya kutofanya utafiti. Umeandika kama unatafuna mahindi ya kukaanga ya moto huku umekalia spoko ya baiskeli.
Hawa ndio masikini wa jf uku wakijifanya matajiri ukienda anapoishi ana lala na kuku ndani akiamka mali zake zote anaziona
 
USA, EUROPE wana hili suala kitambo sana, so wao ni maskini kitambo? Hii ndio shida ya kutofanya utafiti. Umeandika kama unatafuna mahindi ya kukaanga ya moto huku umekalia spoko ya baiskeli.
ndo michezo yako nini kukalia spoko
 
Embu achaneni na basic hakuna matatizo ya kimafilia kuna misiba imetokeaa kuna kuuguliwa au kuugua kwa muda mrefu na familia inakuangalia wewe embu acheni dharau ni jambo la muda
Inaamaana salary yako c vumiliv uwez ku save wala ku spends wew ni kuishi tuu na kulpa bills

Mimi n mtu.mish pia inabd tuwaz nje ya box
 
Tatizo la hii mikopo unaishi maisha ambayo si yako, kama nimeshindwa kukusanya hela ya ada 6m ya wanangu kwa mwaka je nikikopa nitaikusanyaje niwarudishie bank na riba juu yake.

Dawa ya wazazi wenzangu ukishimdwa kulipa ada mwenyewe basi hamisha mtoto akasome kayumba fc, si dhambi.
Nchi zenyewe zinakopa zikiwemo marekani na ulaya sembuse mtu binafsi
Hakuna nchi dunia serikali yeyote yenye uwezo wa kukusanya cash bila kukopa kuendesha serikali zao

Kukopa kiwango na kulipa kidogokidogo ndio mtindo wa dunia mzima sasa hivi
 
Dalili za umaskin ni kuenea kwa mikopo ya kila.namna
95% wanao kopa hyo mikopo ni watumish wa umma kwamba basic zao sio

Silioni hilo. Sanasana inachochea rushwa na ubadhilifu serikalini kutokana na msongo wa madeni unaowakabili watumishi.
Kwanini mnawaonea watumishi kana kwamba wao ndio wenye shida sana nchi hii,kwani kabla ya mkopo rushwa haikuwepo? Na mbona ipo mikopo mingi tu? Huu mkopo ni maalumu kwa watumishi au wananchi wote tena hata kama si mteja wa benki, umesoma andiko vizuri?
 
Inaamaana salary yako c vumiliv uwez ku save wala ku spends wew ni kuishi tuu na kulpa mimi

Mimi n mtu.mish pia inabd tuwaz nje ya box
Ni kweli kuna ku save then kuna mambo yanapo ingiliana unatumia akiba inapofika mda unaona akiba haitosh what next?
 
Back
Top Bottom