Djob Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 265
- 203
Mkopo unatolewa kwa miezi sita ila riba inahajiwa kwa mwaka au mie ndo mgumu kuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwanini usomeshe mtoto ada milioni sita kwa mwaka kama hadi ukope? Kuna shule nzuri sana zina matokeo ya taifa A+ ada ni chini ya milioni moja tu na usheeTatizo la hii mikopo unaishi maisha ambayo si yako, kama nimeshindwa kukusanya hela ya ada 6m ya wanangu kwa mwaka je nikikopa nitaikusanyaje niwarudishie bank na riba juu yake.
Dawa ya wazazi wenzangu ukishimdwa kulipa ada mwenyewe basi hamisha mtoto akasome kayumba fc, si dhambi.
Na hapo nimeongea general siyo tu kwa mikopo hii. Hivi unajua muda wa mkopo unapokuwa mrefu na gharama za kila rejesho zinapungua? Hivyo ndiyo nchi zilizostaarabika zinafanya.muda wa kulipa mkopo urefushwe si ndio
jumlisha garama za rejesho lote ndio utajua kama linapungua nduguNa hapo nimeongea general siyo tu kwa mikopo hii. Hivi unajua muda wa mkopo unapokuwa mrefu na gharama za kila rejesho zinapungua?
Swali lingine nililolitoa hapo juu, kwa nini nikakope benki wakati shule zenyewe zina taratibu za malipo ya awamu au wanaachana na utaratibu huo (ukizingatia muda wa mkopo wa benki ni huo huo kama wa shule)?
Hiyo siyo issue, hata kama jumla ya gharama za riba ikiongezeka tunaongelea unafuu wa malipo ya kila mwezi. Haya mambo nahisi yako juu ya uwezo wako kuelewa au umekariri.jumlisha garama za rejesho lote ndio utajua kama linapungua ndugu
Asa kama una uwezo wa kulipa kwa awamu kwa mfumo wa shule mzazi akalipe, hii nadhani imelengwa kwa wale ambao mambo yamechacha kabisa hata senti ya kulipa kwa awamu hakuna yaani mzazi umechalala empty pocket.Na hapo nimeongea general siyo tu kwa mikopo hii. Hivi unajua muda wa mkopo unapokuwa mrefu na gharama za kila rejesho zinapungua? Hivyo ndiyo nchi zilizostaarabika zinafanya.
Swali lingine nililolitoa hapo juu, kwa nini nikakope benki wakati shule zenyewe zina taratibu za malipo ya awamu au wanaachana na utaratibu huo (ukizingatia muda wa mkopo wa benki ni huo huo kama wa shule)?
Kama ni uzembe wa mtu mmoja how come una toa majibu ya jumla?hii ni indicator ya umaskini uliopo Tanzania. kwamba watu hawana uhakika wa kulipa hadi karo za wanafunzi.
Halafu rais anasifiwa kwenye kila kitu hadi ujinga
Kwani wakikupa huo mkopo wa miezi 6 hautakiwi kuanza kulipa kidogo kidogo hilo deni?Asa kama una uwezo wa kulipa kwa awamu kwa mfumo wa shule mzazi akalipe, hii nadhani imelengwa kwa wale ambao mambo yamechacha kabisa hata senti ya kulipa kwa awamu hakuna yaani mzazi umechalala empty pocket.
Wamekunyima dahNimeona sms Mimi nikasema ngoja nikope nigungulie genge naambiwa niweke control number ya mwanafunzi. Imeniuma , pesa nimeona kabisa.
Siwezi kukopa kwaajili ya ada ya mtoto wakati shule ni bure. Kiingereza tu ambacho rasi Simba anakifundisha kwa laki 2 tu ndicho mzazi ukilipie milioni 10 ndani ya miaka 4?
Nimesoma na hao waliosoma private schools hawana maajabu yoyote.
Si unalipiwa ada ya mwakaMiezi 6 mbona ni muda mchache sana. Kuna tofauti gani na program za kulipa kwa awamu zilizopo mashuleni moja kwa moja?
Shida ya huduma nyingi za mikopo ya Tanzania ni muda mfupi unaopewa kulipa.
Inakopeshwa serikali au mtu mmoja mmoja kwa akili yako unahisi wote tz wanalipwa milioni 30 kama wew? Au wote wana makampuni kama mnavyo danganya hapa jfwewe inaonesha ni pumbavu mikopo ya kijingajinga kama ada ni upuuzi kwa nchi kama Tanzania
Ndiyo ila kwa maelezo ya hapo juu mkopo unatakiwa kurejeshwa ndani ya miezi 6Si unalipiwa ada ya mwaka
Wewe una utajir gani unakunya kwenye dhahabu?wajinga maskin kam nyie ni wengi mno tz
Punguza hasira mkuu.January itakua hivyo kwa wajinga wengi miaka nenda rudi
Miezi sita halafu 13% huo ni mtego🐼Miezi 6 mbona ni muda mchache sana. Kuna tofauti gani na program za kulipa kwa awamu zilizopo mashuleni moja kwa moja?
Shida ya huduma nyingi za mikopo ya Tanzania ni muda mfupi unaopewa kulipa.
Some how wanakuwa wamekupunguzia mzigo lakiniNdiyo ila kwa maelezo ya hapo juu mkopo unatakiwa kurejeshwa ndani ya miezi 6
Mifumo itatofautiana ya ulipaji kwa mkopo wa benki na kulipa kwa awamu shuleni, tuseme benki labda utarejesha elfu 30 kila wiki lakini kule kwa awamu shulemi wakaweka january pekee labda mzazi alipe laki saba kwa pamoja.Kwani wakikupa huo mkopo wa miezi 6 hautakiwi kuanza kulipa kidogo kidogo hilo deni?
Hapana ni msaadaWatatulemaza sasa,