Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
^There is no free lunch"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahahha tisha sanaaaaBank wakiwa wanatoa mkopo wanakuwaga kama malaika, Siku wanataka pesa yao huja kama majambazi fyuuuu ndukiiii sizitaki mbichi hizi.
Benki ya CRDB inatoa mikopo ya kuanzia Sh. Laki 5 hadi Sh. Milioni 50 isiyo na riba ndani ya siku 50 za kwanza, kwa wateja wenye kadi zake mpya za kutolea fedha za Mastercard Gold Credit na Master Card World Reward
Huduma hiyo ilianza kutolewa rasmi Februari 21, mikopo hiyoitaanza kutozwa riba ya asilimia 5 baada ya siku 50 za mwanzo kupita
View attachment 716970