Siyo lazima uchukue kwa muda wote huo. Unaweza kuomba ulipe kwa miezi 12,24,36....nkWangeacha muda ule ule ndio kungekuwa na nafuu... ila hiyo ni danganya toto cha ajabu hakuna wa kuelimisha hili
Sio wana akili mkuu,hapo ni ujanja kidogo tuBank wana akili sana, hapo hamna kilichopunguzwa
Miaka mingapi?Nilikopa 10 m nakatwa 253,000 jumla nitalipa 1,500000 hapa nitanufaika vipi?
Majanga Kiongozi. Mkopo wa 35m/- ndani ya miaka mitatu washakupiga cha juu 11,186,585.20 (32%). Kwa miaka 7 si ndio kabisa utakuwa unawafanyia kazi wao? Kama hawajapiga 18m/- sijui!Exactly mikopo ya muda mrefu ni majanga sana na haswa formula wanayotumia kucalculate mkopo watu hawailewi kwa kadri muda unavyokua mrefu wa kulipa mkopo ndo unawatengenezea pesa ndefu hatari
Kwa miaka 6 wewe ndiye mnufaika, ila husiutumie kujenga msingi wa nyumba, utumie kumalizia project ambayo itaanza kuzalisha faida immediatelyMiaka mingapi?
Kwani kama wewe ni mchakarikagi miaka mitatu mil. 35 utashindwa kupata hiyo mil. 11 yao?Majanga Kiongozi. Mkopo wa 35m/- ndani ya miaka mitatu washakupiga cha juu 11,186,585.20 (32%). Kwa miaka 7 sio ndio kabisa utakuwa unawafanyia kazi wao? Kama hawajapiga 18m/- sijui!
Both lakini zaidi benki. Mteja anafaidika kwa maana ya kulipa kidogo kidogo; badala ya kulipa 800,000 unalipa say, 500,000 (mfano tu lakini). Ila eventually, total amount utakayolipa baada ya muda huo ni kubwa kulika aliyelipa kwa muda mfupi. Huo hapo chini ni MFANO HALISI kutoa BancABC. Kama kipato kinaruhusu, chukua mkopo wa muda mfupi na kama hakiruhusu kwa maana kama utatoka na NIL mwisho mwezi basi huna option zaidi ya kwenda na option ya muda mrefu ila ndio hivyo ujue unapigwa kitu ambacho baadhi hawajui!Mm naomba kuuliza kwa wajuzi zaidi,hivi mda ukiongezwa kutoka miaka 6-7 hapo anaefaidika ni mkopoaji au bank?
Natanguliza shukurani
Kimsingi hapo ni kuibiwa tuBoth lakini zaidi benki. Mteja anafaidika kwa maana ya kulipa kidogo kidogo; badala ya kulipa 800,000 unalipa say, 500,000 (mfano tu lakini). Ila eventually, total amount utakayolipa baada ya muda huo ni kubwa kulika aliyelipa kwa muda mfupi.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]We si hua unapiga mamilioni kule kwny FOREX unataka mkopo wa nini?
Waongo sana mkuu.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Labda alikopa ili apate mtaji wa forexWaongo sana mkuu.
Hahah wkt alikua anasema akiwa na laki 4 tu aki trade mamilioni hayo hapo kayapata,sasa akope nini tena mkuu.Labda alikopa ili apate mtaji wa forex
Ujanja ndio werevu, werevu ndio maarifa, huwezi kuwa Na maarifa kama huna akiliSio wana akili mkuu,hapo ni ujanja kidogo tu
Wengi wanajua ukikopa wanatumia PRT/100 kumbe sio bank kuna ujanja sana ingekua shida hakuna wasingepata wateja, na tulio wengi hatupigi hesabu hela tunayolipa tunaangalia tuloipata tu.Majanga Kiongozi. Mkopo wa 35m/- ndani ya miaka mitatu washakupiga cha juu 11,186,585.20 (32%). Kwa miaka 7 si ndio kabisa utakuwa unawafanyia kazi wao? Kama hawajapiga 18m/- sijui!
Kwani unalazimishwa kukopa kwa muda wa miaka 7 au 6. Huo ni uamuzi wako mwenyewe! Ukitaka unaweza kuchukua mkopo hata wa mwaka mmoja! Kama riba ilikuwa asilimia 21 na sasa ni asimila 17 kuna unafuu fulani kwa mtu anayekopa kwa muda mfupi ila kwa anayekopa kuanzia miaka miaka 5-7 anaweza asione impact ya hilo punguzo la riba kwa sabau ya riba anayolipa kwa muda mrefu!Naona umekimbilia kutoa hongera wakati muda wa marejesho umeongezwa! Liccm katika ubora wake wa kushangilia kila kitu.
Hongera sana JPM kwa kuleta mvua za kutosha Dar!
Wajinga hao, kwanini nikope mtaani wakati Benki zipo??!!!.Ila watumishi wanapigwa sana mtaani Na wakopeshaji bubu mpaka utawaonea huruma!
Wanalimwa mpaka 40%!
Mbona masharti yao ni ya kawaida tu.Tatizo la crdb masharti ya kukopa ni magumu mno