Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

Mm naomba kuuliza kwa wajuzi zaidi,hivi mda ukiongezwa kutoka miaka 6-7 hapo anaefaidika ni mkopoaji au bank?
Natanguliza shukurani
 
Nilikopa 10 m nakatwa 253,000 jumla nitalipa 1,500000 hapa nitanufaika vipi?
 
Exactly mikopo ya muda mrefu ni majanga sana na haswa formula wanayotumia kucalculate mkopo watu hawailewi kwa kadri muda unavyokua mrefu wa kulipa mkopo ndo unawatengenezea pesa ndefu hatari
Majanga Kiongozi. Mkopo wa 35m/- ndani ya miaka mitatu washakupiga cha juu 11,186,585.20 (32%). Kwa miaka 7 si ndio kabisa utakuwa unawafanyia kazi wao? Kama hawajapiga 18m/- sijui!
 
Majanga Kiongozi. Mkopo wa 35m/- ndani ya miaka mitatu washakupiga cha juu 11,186,585.20 (32%). Kwa miaka 7 sio ndio kabisa utakuwa unawafanyia kazi wao? Kama hawajapiga 18m/- sijui!
Kwani kama wewe ni mchakarikagi miaka mitatu mil. 35 utashindwa kupata hiyo mil. 11 yao?
 
Mm naomba kuuliza kwa wajuzi zaidi,hivi mda ukiongezwa kutoka miaka 6-7 hapo anaefaidika ni mkopoaji au bank?
Natanguliza shukurani
Both lakini zaidi benki. Mteja anafaidika kwa maana ya kulipa kidogo kidogo; badala ya kulipa 800,000 unalipa say, 500,000 (mfano tu lakini). Ila eventually, total amount utakayolipa baada ya muda huo ni kubwa kulika aliyelipa kwa muda mfupi. Huo hapo chini ni MFANO HALISI kutoa BancABC. Kama kipato kinaruhusu, chukua mkopo wa muda mfupi na kama hakiruhusu kwa maana kama utatoka na NIL mwisho mwezi basi huna option zaidi ya kwenda na option ya muda mrefu ila ndio hivyo ujue unapigwa kitu ambacho baadhi hawajui!
====

Kwa miezi 36: 1,282,960.70 x 36 = 46,186,585.20 (benki inachukua 46,186,585.2 - 35,000,000 = 11,186,585.20)
Kwa miezi 24: 1,764,301.60 x 24 = 42,343,238.40 (benki inachukua 42,343,238.40 - 35,000,000 = 7,343,238.40)
Kwa miezi 12: 3,225,480.24 x 12 = 38,705,762.88 (benki inachukua 38,705,762.88 - 35,000,000 = 3,705,762.88)
 
Both lakini zaidi benki. Mteja anafaidika kwa maana ya kulipa kidogo kidogo; badala ya kulipa 800,000 unalipa say, 500,000 (mfano tu lakini). Ila eventually, total amount utakayolipa baada ya muda huo ni kubwa kulika aliyelipa kwa muda mfupi.
Kimsingi hapo ni kuibiwa tu
 
Majanga Kiongozi. Mkopo wa 35m/- ndani ya miaka mitatu washakupiga cha juu 11,186,585.20 (32%). Kwa miaka 7 si ndio kabisa utakuwa unawafanyia kazi wao? Kama hawajapiga 18m/- sijui!
Wengi wanajua ukikopa wanatumia PRT/100 kumbe sio bank kuna ujanja sana ingekua shida hakuna wasingepata wateja, na tulio wengi hatupigi hesabu hela tunayolipa tunaangalia tuloipata tu.
 
Mikopo ni muhimu kwa maendeleo lakini ni lazima uwe na adabu kwenye kukopa, kopa kwa ajili ya kuzalisha, ila mazingira ya sasa pia ni kikwazo sana kwenye biashara hivyo yakupasa kuwa makini kabla ya kuhamua kukopa.
 
K
Naona umekimbilia kutoa hongera wakati muda wa marejesho umeongezwa! Liccm katika ubora wake wa kushangilia kila kitu.


Hongera sana JPM kwa kuleta mvua za kutosha Dar!
Kwani unalazimishwa kukopa kwa muda wa miaka 7 au 6. Huo ni uamuzi wako mwenyewe! Ukitaka unaweza kuchukua mkopo hata wa mwaka mmoja! Kama riba ilikuwa asilimia 21 na sasa ni asimila 17 kuna unafuu fulani kwa mtu anayekopa kwa muda mfupi ila kwa anayekopa kuanzia miaka miaka 5-7 anaweza asione impact ya hilo punguzo la riba kwa sabau ya riba anayolipa kwa muda mrefu!
 
Back
Top Bottom