laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
we dhamana za nyumba, uwe na akaunti kwa machinga anaeishi chumba kimoja cha kupanga atayaweza?Mbona masharti yao ni ya kawaida tu.
Kikoba chenu kina million 20?tumehamia vikoba vya mtaani...benki mlie tu
SANA SANATatizo la crdb masharti ya kukopa ni magumu mno
Ni kweli, mabenki yalikuwa yananyonya sana wakopaji.Kwa hili Magufuli anastahili pongezi. Hizi benk za biashara zilikua zinafanya kazi na serikali na sio wananchi wa kawaida.
Serikali ilikua inazilipa riba kubwa sana kwenye mikopo yake, 15-16%, kwa hiyo wakawa wanaona bora kufanya biashara na serikali kuliko watu binafsi.
Sasa serikali imepunguza riba ya mikopo yake, toka 16% hadi 6%.
Sasa benk zote itabidi zipunguze tu hakuna namna. Nangoja NMB, sasa wako 18%, warudi 16% au 15% watu wakope.
Hizi riba zinapaswa kua chini ya 15%.
Hongera Dr. Magufuli.
Wote: mteja na benki.Mm naomba kuuliza kwa wajuzi zaidi,hivi mda ukiongezwa kutoka miaka 6-7 hapo anaefaidika ni mkopoaji au bank?
Natanguliza shukurani
hahahaha, kuna watu wako makao makuu wanacheza na kalukuleta muda woote.Bank wana akili sana, hapo hamna kilichopunguzwa
Hii kitu CRDB inabidi waifuteJe processing fee ni % ngapi?
Unapishirikiana na mjanja, unapaswa kuwa mjanja.
Kwa hili Magufuli anastahili pongezi. Hizi benk za biashara zilikua zinafanya kazi na serikali na sio wananchi wa kawaida.
Serikali ilikua inazilipa riba kubwa sana kwenye mikopo yake, 15-16%, kwa hiyo wakawa wanaona bora kufanya biashara na serikali kuliko watu binafsi.
Sasa serikali imepunguza riba ya mikopo yake, toka 16% hadi 6%.
Sasa benk zote itabidi zipunguze tu hakuna namna. Nangoja NMB, sasa wako 18%, warudi 16% au 15% watu wakope.
Hizi riba zinapaswa kua chini ya 15%.
Hongera Dr. Magufuli.
Hana akili huyo,hapo kapewa tecno na 1000 ya m.b kazi yake ni kupost utumbo humu .Tumsamehe nayeye ndo ajira yakeMkuu! Hivi nikikukopa fedha ili nifungue biashara siku ukija kuhitaji huduma kwenye hiyo biashara yangu(ambayo mtaji nilikopa kwako) napaswa kukuhudumia bure?au ni wewe ndiye unayepaswa kufuata vigezo na masharti ya biashara yangu?
Akili za kipolepole hiziHongera JPM watakuelewa tu.
Bank zilikuwa zinatumia fedha ya Serikali kuikopesha Serikali
Kwa hili Magufuli anastahili pongezi. Hizi benk za biashara zilikua zinafanya kazi na serikali na sio wananchi wa kawaida.
Serikali ilikua inazilipa riba kubwa sana kwenye mikopo yake, 15-16%, kwa hiyo wakawa wanaona bora kufanya biashara na serikali kuliko watu binafsi.
Sasa serikali imepunguza riba ya mikopo yake, toka 16% hadi 6%.
Sasa benk zote itabidi zipunguze tu hakuna namna. Nangoja NMB, sasa wako 18%, warudi 16% au 15% watu wakope.
Hizi riba zinapaswa kua chini ya 15%.
Hongera Dr. Magufuli.
Endelea kula ugali kwa baba na mama ukikua utayaona haya.Wajinga hao, kwanini nikope mtaani wakati Benki zipo??!!!.
Mkuu hapo CRDB ni teller kwenye dirisha no. Ngapi mkuu?Kama unakopa bila malengo utafeli
Ukianza kuwaza namna mikopo inawafaidisha benki bila kuwaza wewe mkopo unakusaidiaje utafeli
Serikali duniani zinakusanya kodi ila haziachi kukopa
Watanzania tunaroho mbaya mpk kwenye taasisi zinazotusaidia
Kutegemea mshahara ni umasikini
Kopa fanya biashara
Na siku hizi serikali haikopeshi watumishi dadeki
Na watumishi kibao mishahara yao ni ya kawaida sana
Unadhani asipokopa atajenga kwa laki 5 na familia yamtegemea? Tena wengine wanategemewa mpk na ukoo ,majamaa na wanakijiji wenzake
Omba usiingie kwenye mitihani ya maisha! Kadi na namba ya siri utaona si kitu!Uzembe tu... mtu msomi umesoma kabsa unaenda kopa eti unaacha atm card mwsho kudhalilishwa mtaani
.
Naomba sana nisifike hukoOmba usiingie kwenye mitihani ya maisha! Kadi na namba ya siri utaona si kitu!