Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

Nlikopaga 10.4 m kwa ajili ya kilimo na sasa nshapata faida nimevuna nimekutana na bei nzuri ya kitunguu
Nimenunua gari inaingiza 70/day hiiiii pigeni vita mikopo wakati hata mengi alikopa,anakopa na atakopa

Hata matajiri wanakopa
 
Kama unakopa bila malengo utafeli

Ukianza kuwaza namna mikopo inawafaidisha benki bila kuwaza wewe mkopo unakusaidiaje utafeli

Serikali duniani zinakusanya kodi ila haziachi kukopa

Watanzania tunaroho mbaya mpk kwenye taasisi zinazotusaidia

Kutegemea mshahara ni umasikini

Kopa fanya biashara
Na siku hizi serikali haikopeshi watumishi dadeki

Na watumishi kibao mishahara yao ni ya kawaida sana

Unadhani asipokopa atajenga kwa laki 5 na familia yamtegemea? Tena wengine wanategemewa mpk na ukoo ,majamaa na wanakijiji wenzake
 
Kwa hili Magufuli anastahili pongezi. Hizi benk za biashara zilikua zinafanya kazi na serikali na sio wananchi wa kawaida.

Serikali ilikua inazilipa riba kubwa sana kwenye mikopo yake, 15-16%, kwa hiyo wakawa wanaona bora kufanya biashara na serikali kuliko watu binafsi.

Sasa serikali imepunguza riba ya mikopo yake, toka 16% hadi 6%.

Sasa benk zote itabidi zipunguze tu hakuna namna. Nangoja NMB, sasa wako 18%, warudi 16% au 15% watu wakope.

Hizi riba zinapaswa kua chini ya 15%.

Hongera Dr. Magufuli.
Ni kweli, mabenki yalikuwa yananyonya sana wakopaji.
Mabenki yalilandisha riba mpaka kufikia 23% huko, sasa hv inakuwa raha kwa mkopaji, japokuwa inatakiwa ipungue zaidi.
 
Mm naomba kuuliza kwa wajuzi zaidi,hivi mda ukiongezwa kutoka miaka 6-7 hapo anaefaidika ni mkopoaji au bank?
Natanguliza shukurani
Wote: mteja na benki.
Mteja anakuwa na sifa ya kuchukua facility kubwa zaidi, na benki inapata compound interest kubwa.
 
Je processing fee ni % ngapi?
Unapishirikiana na mjanja, unapaswa kuwa mjanja.
 
Kwa hili Magufuli anastahili pongezi. Hizi benk za biashara zilikua zinafanya kazi na serikali na sio wananchi wa kawaida.

Serikali ilikua inazilipa riba kubwa sana kwenye mikopo yake, 15-16%, kwa hiyo wakawa wanaona bora kufanya biashara na serikali kuliko watu binafsi.

Sasa serikali imepunguza riba ya mikopo yake, toka 16% hadi 6%.

Sasa benk zote itabidi zipunguze tu hakuna namna. Nangoja NMB, sasa wako 18%, warudi 16% au 15% watu wakope.

Hizi riba zinapaswa kua chini ya 15%.

Hongera Dr. Magufuli.

Mkuu kushushwa kwa riba sio kuangalia siasa labda mtu gan kasema nini au nani kafanya nini.
Hiyo behind the scene kuna kitu hapo kinakua avoided ili kupunguza hasra kubwa isiwapate.
Nimekufungua kwa kiasi hicho, na wewe ingia deep zaid ujue/ufahamu yaliyojiri huko.\
Alamsik.
 
Mkuu! Hivi nikikukopa fedha ili nifungue biashara siku ukija kuhitaji huduma kwenye hiyo biashara yangu(ambayo mtaji nilikopa kwako) napaswa kukuhudumia bure?au ni wewe ndiye unayepaswa kufuata vigezo na masharti ya biashara yangu?
Hana akili huyo,hapo kapewa tecno na 1000 ya m.b kazi yake ni kupost utumbo humu .Tumsamehe nayeye ndo ajira yake
 
Hongera JPM watakuelewa tu.
Bank zilikuwa zinatumia fedha ya Serikali kuikopesha Serikali
Akili za kipolepole hizi
tapatalk_1526055561324.jpeg
 
Kwa hili Magufuli anastahili pongezi. Hizi benk za biashara zilikua zinafanya kazi na serikali na sio wananchi wa kawaida.

Serikali ilikua inazilipa riba kubwa sana kwenye mikopo yake, 15-16%, kwa hiyo wakawa wanaona bora kufanya biashara na serikali kuliko watu binafsi.

Sasa serikali imepunguza riba ya mikopo yake, toka 16% hadi 6%.

Sasa benk zote itabidi zipunguze tu hakuna namna. Nangoja NMB, sasa wako 18%, warudi 16% au 15% watu wakope.

Hizi riba zinapaswa kua chini ya 15%.

Hongera Dr. Magufuli.

Unafiki mwingine ni wa kijinga kabisa!
Magufuli hapa kaingiaje??
Magufuli anafurahi wananchi wakiteseka leo hii unamsifia kwa mambo ya kipumbavu!
Magufuli na serikali yake washushe bei ya sukari na mafuta ya chakula kama ana jeuri!
 
Kama unakopa bila malengo utafeli

Ukianza kuwaza namna mikopo inawafaidisha benki bila kuwaza wewe mkopo unakusaidiaje utafeli

Serikali duniani zinakusanya kodi ila haziachi kukopa

Watanzania tunaroho mbaya mpk kwenye taasisi zinazotusaidia

Kutegemea mshahara ni umasikini

Kopa fanya biashara
Na siku hizi serikali haikopeshi watumishi dadeki

Na watumishi kibao mishahara yao ni ya kawaida sana

Unadhani asipokopa atajenga kwa laki 5 na familia yamtegemea? Tena wengine wanategemewa mpk na ukoo ,majamaa na wanakijiji wenzake
Mkuu hapo CRDB ni teller kwenye dirisha no. Ngapi mkuu?
 
Back
Top Bottom