Rurakha
Senior Member
- Oct 20, 2019
- 122
- 224
Hichi kitu hata mimi nawaza maana sasa hivi wana 1 Trillion mtajiHuu mfuko naona kama ipo siku isiyo na jina pesa zitaanza kuchukuliwa na kuelekezwa kwenye miradi
Mtu anaomba pesa yake anaambiwa atakuwa anapewa kidg kidg