Benki ya DCB Kufilisiwa na CCM? Wanahisa kupata hofu, DSE hawajatoa tamko?

Huu mfuko naona kama ipo siku isiyo na jina pesa zitaanza kuchukuliwa na kuelekezwa kwenye miradi
Mtu anaomba pesa yake anaambiwa atakuwa anapewa kidg kidg
Hichi kitu hata mimi nawaza maana sasa hivi wana 1 Trillion mtaji
 
Ndiyo sababu watu wanakimbilia kupata uanachama na madaraka Kwenye hizi Jumuiya za ccm ili wapate fursa Kama hizi .

Mjini ni akili kwelikweli kamata chako ondoka mbele kwa mbele.
 
Dont ever run a business uhusishe wanasiasa wa CCM au viongozi wa serikali

Fanya biashara the right way na kaa nao mbali kabisa

Wale hua wapo entitled kuchukua chochote bure kutoka kwenye kampuni yako,usipotoa watakusumbua sana na ukicheza wataiua kampuni...ndio yameikuta DCB

Ni heri ukae nao mbali from the beginning
 
MTumishi umetoa elimu kubwa sana kwa mistari michache.

Mtumishi, unaoana hata Mo alipobana kutoa magunia ya kubebea Korosho walichomfanya?

Ndio maana wahindi na warabu hujitenga na siasa kabisa.

Wao ni biashara na kuswali, jioni wako Jamatini ama masjidi,hawana muda wa umbea wakusifia sijui nani yupo kazini.
 
Kaa nao mbali mkuu

Tumia akili yako ya kuzaliwa kufanya biashara zako

Wale ni wa kuja na kuondoka ila wana visasi vibaya maana wanakua ndani ya power

Hata tender fanya mwenyewe,tumia akili zako kupata usimpigie simu mwanasiasa kabisa,hata tender ukiikosa kuna siku utapata bahati yako

Utakuja nishukuru baadae
 
Naona mawigi tu na mtu aliyejipodoa na watumwa waliovaa suti.

Huwezi kupata competency Kwa aina hiyo ya watu.
 
Naoilikuwaje wakawakopesha? Wajifunze kufanya biashara kwa kuzingatia weledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…