Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

Tanzania kwa Sasa ina GDP per capital ya USD 1116 kwa mwaka huu 2024..
Wakati mwaka 2022 ilikuwa na GDP per capita ya $1192
Tunarudi Nyuma na kupiga maktaimu mule mule..

Huku nchi inakumbwa na 3% inflation..

Tukumbuke juzi tu hapa 2022, purchasing power parity ya United Republic of Tanzania ilikuwa 886.1 LCU per international dollars.

Tukiwa na Human Development Index(HDI) Ya chini ya 0.6 points..
Bado.mnataka Tusiseme kuwa nchi inaelekea kwenye umaskini licha ya kuwa na GDP kubwa zaidi $Bilion 200
 
Uchumi utakuaje wakati kuna mashirika ya umma kama TTCL wanadai 3billion lakini hawajui wanamdai nani. (ripoti ya CAG, 2023)
 
Hizi takwimu umezitoa wapi? Uwe unaiweka supporting evidence Mimi sio mwanasiasa au mbumbumbu wa Kushabikia Kila kinachosemwa.

Weka hapa evidence ndio nianze kutoa maelezo.
 
Temeke kwa sasa wananchi wengi wanakula mlo mmoja kwa siku, ugali mtupu kwenye familia unapikwa saa 10 jioni , kila mtu atafute mboga yake , hakuna Chai wala uji asubuhi

Nakulilia Tanzania
Ndio maana Deusdetit Soka kapigwa kibao kimoja tu yuko hoi, kumbe ni mlo mmoja Ndio Sababu 🐼🐼
 
Hizi takwimu umezitoa wapi? Uwe unaiweka supporting evidence Mimi sio mwanasiasa au mbumbumbu wa Kushabikia Kila kinachosemwa.

Weka hapa evidence ndio nianze kutoa maelezo.
Takwimu zote zinapatikana kwenye Tovuti ya World Bank na World Economics..

Ni nyingi zana ukienda huko utaziona..
 
Nitolee takwimu zako uchwara hapa, purchasing power ya mtanzania iko chini sana, vipato vya watu havikidhi gharama za uendeshaji maisha.
acha uvivu chapa kazi, maisha yanaendeshwa kwa kufanya kazi kwa maarifa na kwa bidii...
 
obvious wap bana wewe furahisha genge tu na amsha matuamaini ya wakosoaji....
Kwamba Mpaka WB waseme kuwa umasikin unaongezeka bas ndio utaamini lakin wewe huwez kuona kwa akil zako kuwa hali ya maisha inazid kudidimia kwa watanzani?.

Pole sana ndugu yangu.Niwape pole na waliokuzaa
 
huna haja ya kuhurumia waTanzania wenye bidii wanaoendelea kuchapa kaz zao halali za kijipatia kipato kwa Amani...

hakuna umaskini huo unao uhubiri Tanazani tuko vizuri, uelekeo wa kiuchumi ni mzuri zaidi....
 
Temeke kwa sasa wananchi wengi wanakula mlo mmoja kwa siku, ugali mtupu kwenye familia unapikwa saa 10 jioni , kila mtu atafute mboga yake , hakuna Chai wala uji asubuhi

Nakulilia Tanzania
Ukiupata huo ugali shukuru Mungu.Wapo ambao hata kuupata ni tabu.Kodi za chumba ni tabu kulipia.Hebu wasomi waelekezeni wananchi,wafanye miradi gani,ili wajikwamue kiuchumi.
 
Takwimu zote zinapatikana kwenye Tovuti ya World Bank na World Economics..
View attachment 2934101
Ni nyingi zana ukienda huko utaziona..
Population growth imeathiri pakubwa sana inatakiwa Ukuaji wa Uchumi uongezwe Kwa Serikali kuweka miundombinu ya uchumi Mikoani kama umeme,maji na Barabara.

Utafiti uko wazi kwamba growth rate ya 7%-10% at least Kwa miaka 10 mfululizo ndio unaweza kuwa na trickle down effects kubwa kuliko huu wa 5-6%

This is not enough πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/AnnaSarungi/status/1768184030560649572?t=NBHK8uG4DGMmVUqyZSM24A&s=19
 
Temeke kwa sasa wananchi wengi wanakula mlo mmoja kwa siku, ugali mtupu kwenye familia unapikwa saa 10 jioni , kila mtu atafute mboga yake , hakuna Chai wala uji asubuhi

Nakulilia Tanzania
hayo ni maisha yako siyo ya wengi tatizo umekalia umbea hapa jf hutaki kufanya kazi wenzio wanakula milo mi3 kwa siku
 
umeandika kishabiki na ki chuki sana dhidi ya ccm, kwa taarifa yako hiyo ripoti siyo ya kweli kwanza lete sorce yake imetoka wapi? licha ya hivyo haohao wanaosema hivyo ndiyo wanaoletaga hizo taarifa sasa wanasema na kujipinga wenuyewe? wewe utakuwa na matatizo ya akili hakuna kitu kama hicho pia ukiona idadi inaongezeka ya maskini ujue pia idadi ya watu sasa hivi ni kubwa sana
 
Temeke kwa sasa wananchi wengi wanakula mlo mmoja kwa siku, ugali mtupu kwenye familia unapikwa saa 10 jioni , kila mtu atafute mboga yake , hakuna Chai wala uji asubuhi

Nakulilia Tanzania
Ugali mtupu kwenye familia unapikwa saa 10 jioni , kila mtu atafute mboga yake .
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Acha kuwatetea chief. Kiuhalisia hali ni mbaya sana mitaani,gharama za maisha zipo juu sana. Uchumi wetu ungekuwa juu Hali isingekuwa hivi ilivyo chief
 
Yeah na huo ndo ukweli shida kubwa ya Viongozi wetu hawausemi ukweli huo wanahofu sana na wananchi watawafikiaje..

ni Aibu kwa Daktari wa Uchumi kama Mwigulu Kusema kuwa Kuongezeka kwa magari number E ndo kipimo chake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…