DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Tanzania kwa Sasa ina GDP per capital ya USD 1116 kwa mwaka huu 2024..Bado nauliza swali langu unaelewa maana ya uchumi kukua?
Ukitaja hizo parameters nitakwambia zimeongezeka na Sasa tuko kwenye wastani wa 2.8mln per year ambayo ni Juu ya wastani wa umaskini ndio maana tuko uchumi wa Kati wa Chini.
Swala liwe Je kiwango hicho kinatosha swali ni Bado hakitoshi more juhudi zinatakiwa.
Wakati mwaka 2022 ilikuwa na GDP per capita ya $1192
Tunarudi Nyuma na kupiga maktaimu mule mule..
Huku nchi inakumbwa na 3% inflation..
Tukumbuke juzi tu hapa 2022, purchasing power parity ya United Republic of Tanzania ilikuwa 886.1 LCU per international dollars.
Tukiwa na Human Development Index(HDI) Ya chini ya 0.6 points..
Bado.mnataka Tusiseme kuwa nchi inaelekea kwenye umaskini licha ya kuwa na GDP kubwa zaidi $Bilion 200