Benki ya Dunia: Wanaotumia chini ya Tsh. 7,834 kwa siku ni maskini kupindukia

Wazungu ndo wakitumia Chini ya $3.00 kweli ni masikini.
Babu na bibi yangu kule kijijini anakula sato wawili kila siku. Sato mmoja ana thamani ya zaidi ya $7 hapa Bongo, achana na uzunguni. Bado, hujaongeza maembe, machungwa na ndizi wanazojilia tu.
Labda tuna umasikini wa kioato, ila maisha ni mazuri sana.
 
Hawa wachini ya 7000 labda ni kijijini ambao wanategemea vitu vingi shambani lakini kwa mtu wa kawaida tu kwa mji kama wa dsm anawezaje kusurvive chini ya elfu 7,🤔 kama ni kweli naunga mkono ni umasikini uliokisiri.
Inatosha na chenchi inabaki, umewahi kusikia supu ya ngozi au bia za kupima
 
Mi sina kazi ya kueleweka lakini kwa siku natumia zaidi ya hiyo buku 7 so mimi sio maskini wa kutupwa
 
Mm nitakuwa fukara pro maana nikitumia elf 5 roho inauma natafuta had mia za chenji 😃😃
hujapiga hesabu vizuri ndugu tatizo kubwa watanzania hatupendi kuandika matumizi yutu kwa kila siku

mfano unaweza kujinyima kutumia hiyo elfu tano kwa siku lakini wiki inayofuata ukatumia 80k kwa siku ukija kufanya makusanyo ya mwezi unavuka laki tatu
 
Wazungu ndo wakitumia Chini ya $3.00 kweli ni masikini.
Babu na bibi yangu kule kijijini anakula sato wawili kila siku. Sato mmoja ana thamani ya zaidi ya $7 hapa Bongo, achana na uzunguni. Bado, hujaongeza maembe, machungwa na ndizi wanazojilia tu.
Labda tuna umasikini wa kioato, ila maisha ni mazuri sana.
Watu wachache sana kijijini wanaokula Sato kirahisi , hizo habari za babu na bibi kuogelea kwenye sato kijijini ni story tu, watu wa mjini ndio wanaokula zaidi Sato.
 
Mm nitakuwa fukara pro maana nikitumia elf 5 roho inauma natafuta had mia za chenji 😃😃
Kumbe Aaliyyah nikikuachia kila siku 10k kwaajili ya kula tu utanipenda mpaka...😄
 
hujapiga hesabu vizuri ndugu tatizo kubwa watanzania hatupendi kuandika matumizi yutu kwa kila siku

mfano unaweza kujinyima kutumia hiyo elfu tano kwa siku lakini wiki inayofuata ukatumia 80k kwa siku ukija kufanya makusanyo ya mwezi unavuka laki tatu
Labda useme hivo ila nikichange elf 10 haibaki yani. Inaisha ila kwa maumivu makali sana yaan nasikkia roho inauma naannza kutafuta chenji mia mbili mbili ela ngumu sana jamn 😂😂
 
😂😂😂😂Ukiamka nakuamkia shikamoo 😀
Haha umenifanya nianze kuwaza inakuwaje mtu hajari wakati kilasiku natumia zaidi ya 20k kwaajili ya matumizi ya nyumbani tu wakati kuna mtu nitakuwa mpaka napigiwa magoti kwa 10k tu?!🤔
Itabidi nifanye reformation😂😂
 
Yani huyo Akuamkie jamni eela ngumu sana na ukiishika ni shwaa sijaamin jana nimejifanya kupika pilau kilakitu kipo ni nyama na viungo Elf 9 shwaa nikasema nn nikaanza kisearch chenji ufukara tabu sana 😂😂😂
 
Mm nitakuwa fukara pro maana nikitumia elf 5 roho inauma natafuta had mia za chenji 😃😃
Hujadadavua vizuri sababu unaweza kua kwenye mazingira ambayo vyakula vingi unavuna shambani au kama upo mjini unakuta unayo akiba ya vitu vingi ndani.

Hii hesabu imepigwa kwa ujumla wa mahitaji ya mtu mmoja kwa siku
 
Yani huyo Akuamkie jamni eela ngumu sana na ukiishika ni shwaa sijaamin jana nimejifanya kupika pilau kilakitu kipo ni nyama na viungo Elf 9 shwaa nikasema nn nikaanza kisearch chenji ufukara tabu sana 😂😂😂
Hahaha hakika maisha ya watanzania wengi ni vitendawili, leo pangu pakavu kesho tumbo juu kwa kuvimbilwa huku wakinyoosha mikono "Mitano tena" alafu baada ya hapo yanabaki manung'uniko tu😀😀
Usijari laaziz Aaliyyah Mwenye enzi atajaalia na mengine yatabaki historia.
 
Hawa wachini ya 7000 labda ni kijijini ambao wanategemea vitu vingi shambani lakini kwa mtu wa kawaida tu kwa mji kama wa dsm anawezaje kusurvive chini ya elfu 7,🤔 kama ni kweli naunga mkono ni umasikini uliokisiri.
Mkuu inawezekana, mimi naishi kwa matumizi chini ya 7000 dar es laam hii hii
 
Back
Top Bottom