Inatosha na chenchi inabaki, umewahi kusikia supu ya ngozi au bia za kupimaHawa wachini ya 7000 labda ni kijijini ambao wanategemea vitu vingi shambani lakini kwa mtu wa kawaida tu kwa mji kama wa dsm anawezaje kusurvive chini ya elfu 7,π€ kama ni kweli naunga mkono ni umasikini uliokisiri.
Wachina wangapi wanaishi chini ya $3 kwa siku ? Xi Jinping
Nusu ya Nchi Duniani zitakuwa LDCKwanza walitakiwa wafanye $5 kwa siku.
hujapiga hesabu vizuri ndugu tatizo kubwa watanzania hatupendi kuandika matumizi yutu kwa kila sikuMm nitakuwa fukara pro maana nikitumia elf 5 roho inauma natafuta had mia za chenji ππ
Watu wachache sana kijijini wanaokula Sato kirahisi , hizo habari za babu na bibi kuogelea kwenye sato kijijini ni story tu, watu wa mjini ndio wanaokula zaidi Sato.Wazungu ndo wakitumia Chini ya $3.00 kweli ni masikini.
Babu na bibi yangu kule kijijini anakula sato wawili kila siku. Sato mmoja ana thamani ya zaidi ya $7 hapa Bongo, achana na uzunguni. Bado, hujaongeza maembe, machungwa na ndizi wanazojilia tu.
Labda tuna umasikini wa kioato, ila maisha ni mazuri sana.
Mimi nipo nakunywa Konyagi Kubwa. Unajua inauzwaje hapa Empire, Nyegezi, Jijini Mwanza?Bongo yote ni masikini wa kutupwa
Kumbe Aaliyyah nikikuachia kila siku 10k kwaajili ya kula tu utanipenda mpaka...πMm nitakuwa fukara pro maana nikitumia elf 5 roho inauma natafuta had mia za chenji ππ
Kasoro Lumumba buku 7 wakiongozwa na johnthebaptistBongo yote ni masikini wa kutupwa
ππππUkiamka nakuamkia shikamoo πKumbe Aaliyyah nikikuachia kila siku 10k kwaajili ya kula tu utanipenda mpaka...π
Labda useme hivo ila nikichange elf 10 haibaki yani. Inaisha ila kwa maumivu makali sana yaan nasikkia roho inauma naannza kutafuta chenji mia mbili mbili ela ngumu sana jamn ππhujapiga hesabu vizuri ndugu tatizo kubwa watanzania hatupendi kuandika matumizi yutu kwa kila siku
mfano unaweza kujinyima kutumia hiyo elfu tano kwa siku lakini wiki inayofuata ukatumia 80k kwa siku ukija kufanya makusanyo ya mwezi unavuka laki tatu
Haha umenifanya nianze kuwaza inakuwaje mtu hajari wakati kilasiku natumia zaidi ya 20k kwaajili ya matumizi ya nyumbani tu wakati kuna mtu nitakuwa mpaka napigiwa magoti kwa 10k tu?!π€ππππUkiamka nakuamkia shikamoo π
Bora nimepata mwenzangu πππMaskini mimi!! ππ€£π€£
Hizo hesabu wewe unazipaje tuanzie hapo kusema bongo yote masikin wa kutupwaBongo yote ni masikini wa kutupwa
Yani huyo Akuamkie jamni eela ngumu sana na ukiishika ni shwaa sijaamin jana nimejifanya kupika pilau kilakitu kipo ni nyama na viungo Elf 9 shwaa nikasema nn nikaanza kisearch chenji ufukara tabu sana πππHaha umenifanya nianze kuwaza inakuwaje mtu hajari wakati kilasiku natumia zaidi ya 20k kwaajili ya matumizi ya nyumbani tu wakati kuna mtu nitakuwa mpaka napigiwa magoti kwa 10k tu?!π€
Itabidi nifanye reformationππ
Aunt tuwaulize wanaume waanatoaga wapi ella ππππππππ
Hujadadavua vizuri sababu unaweza kua kwenye mazingira ambayo vyakula vingi unavuna shambani au kama upo mjini unakuta unayo akiba ya vitu vingi ndani.Mm nitakuwa fukara pro maana nikitumia elf 5 roho inauma natafuta had mia za chenji ππ
Hahaha hakika maisha ya watanzania wengi ni vitendawili, leo pangu pakavu kesho tumbo juu kwa kuvimbilwa huku wakinyoosha mikono "Mitano tena" alafu baada ya hapo yanabaki manung'uniko tuππYani huyo Akuamkie jamni eela ngumu sana na ukiishika ni shwaa sijaamin jana nimejifanya kupika pilau kilakitu kipo ni nyama na viungo Elf 9 shwaa nikasema nn nikaanza kisearch chenji ufukara tabu sana πππ
Mkuu inawezekana, mimi naishi kwa matumizi chini ya 7000 dar es laam hii hiiHawa wachini ya 7000 labda ni kijijini ambao wanategemea vitu vingi shambani lakini kwa mtu wa kawaida tu kwa mji kama wa dsm anawezaje kusurvive chini ya elfu 7,π€ kama ni kweli naunga mkono ni umasikini uliokisiri.