K kamwamu JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,521 Reaction score 3,309 Dec 23, 2022 #41 covid 19 said: Mimi hadi sasa kwa utendaji wa mhe. Rais Samia anafanya vizuri sana tatizo hulka yake inamponza mpole na anamuhali sana.. Mafisi yanamuonea sana Click to expand... Si yana mwonea, yamezunguka na yamekenua meno akidhani yanamchekea kumbe yanajiandaa kumrarua.
covid 19 said: Mimi hadi sasa kwa utendaji wa mhe. Rais Samia anafanya vizuri sana tatizo hulka yake inamponza mpole na anamuhali sana.. Mafisi yanamuonea sana Click to expand... Si yana mwonea, yamezunguka na yamekenua meno akidhani yanamchekea kumbe yanajiandaa kumrarua.
greenwoods JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 2,328 Reaction score 3,955 Dec 23, 2022 #42 Aaronrweumbiza said: Jamani mikopo mbona mingi hivyo ? Kuna Nini nyuma ya hii mikopo ? Click to expand... Kuolewa pasipo mahali
Aaronrweumbiza said: Jamani mikopo mbona mingi hivyo ? Kuna Nini nyuma ya hii mikopo ? Click to expand... Kuolewa pasipo mahali
K kamwamu JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,521 Reaction score 3,309 Dec 23, 2022 #43 Shimba ya Buyenze said: Hakuna shida. Bado tunakopesheka! View attachment 2454370 Click to expand... Kumbe nchi inaongozwa kwa mikopo, ikichelewa hazina hakuna kitu. Hiyo ni hatari, wakopeshaji watakupa masharti yatakayo iumiza nchi, nawe huna kitu itabidi uyakubali.
Shimba ya Buyenze said: Hakuna shida. Bado tunakopesheka! View attachment 2454370 Click to expand... Kumbe nchi inaongozwa kwa mikopo, ikichelewa hazina hakuna kitu. Hiyo ni hatari, wakopeshaji watakupa masharti yatakayo iumiza nchi, nawe huna kitu itabidi uyakubali.