Si yana mwonea, yamezunguka na yamekenua meno akidhani yanamchekea kumbe yanajiandaa kumrarua.Mimi hadi sasa kwa utendaji wa mhe. Rais Samia anafanya vizuri sana tatizo hulka yake inamponza mpole na anamuhali sana..
Mafisi yanamuonea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si yana mwonea, yamezunguka na yamekenua meno akidhani yanamchekea kumbe yanajiandaa kumrarua.Mimi hadi sasa kwa utendaji wa mhe. Rais Samia anafanya vizuri sana tatizo hulka yake inamponza mpole na anamuhali sana..
Mafisi yanamuonea sana
Kuolewa pasipo mahaliJamani mikopo mbona mingi hivyo ? Kuna Nini nyuma ya hii mikopo ?
Kumbe nchi inaongozwa kwa mikopo, ikichelewa hazina hakuna kitu. Hiyo ni hatari, wakopeshaji watakupa masharti yatakayo iumiza nchi, nawe huna kitu itabidi uyakubali.