Benki ya Dunia yaipatia Tanzania mkopo wa 1.8 Trillion. To be paid after 40 Years

1.8trilion, vipi ile 1.5 trilion iliyozama bahari Hindi.
 
Atachukua, atajengea reli.

Sio kama nalalamika!
 
Atachukua, atajengea reli.

Sio kama nalalamika!
Acha ushamba. World Bank inapotoa pesa huwa pia wana hakikisha zimefanya kazi iliyokusudia. Lasivyo wanakatisha mlijaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkopo ni mkopo ndugu iwe inatoka WB au China au US...actually, you dont have a point ...kisha kama mwenzako hapo alivyosema, mkopo sio jambo la kujivunia unless itatumika vyema..ikitumika kwa manufaa ya wananchi hata kama inafaa ilipwe kwa miaka mitano tu ni sawa kabisa...Finally, Kenya itakapochukua mkopo Geza Ulole et al. hawatakuwa na cha kunena sasa...mwenzao kashajipiga bao...hii ndio inaitwa shooting your own foot
 
Mkopo wa China niwa motoπŸ”₯πŸ”₯ Ukichukua hakuna swala la negotiation πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wenyewe Bagamoyo tuliwaachia wapambane na hali yaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Terminal three ya JNIA pia tuliwakataa.
 
Mkopo wa China niwa motoπŸ”₯πŸ”₯ Ukichukua hakuna swala la negotiation πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wenyewe Bagamoyo tuliwaachia wapambane na hali yaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Terminal three ya JNIA pia tuliwakataa.
basi huna uelewa wowote wa mambo haya ya mkopo..una bahatisha tu
 
Mikopo hutofautiana na mashariti. Mingine inasameheka. Sio kama ya Mchina wa sasa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekumbuka zile pesa za MCC almost one trillion tulikua tunapewa bure kwa ajili ya REA....Leo tunakopa
 
Mikopo hutofautiana na mashariti. Mingine inasameheka. Sio kama ya Mchina wa sasa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
swali langu ni hili....mmechukua mkopo? kama jibu ni ndio basi umewa contradict wenzako tayari...thats my point..period....kuna wakati humu hakukuwa kunakalika kisa Kenya ilichukua mkopo toka kwa mchina...tukaambiwa kuwa tz huwa inalipia ndege kwa cash...reli inajengwa na hela za serikali...nikashindwa ni nchi ipi hio ambayo huwa haichukui mikopo...wakenya wakasema hata nchi zilizondelea huwa na mikopo..mfano USA ina deni kubwa ya wachina...mkasema hatufai kufananisha nchi zilizoendelea na nchi za ulimwengu wa tatu ..tukanyamaza ...
 
ni nani aliyesema mkopo ni msaada?
Nyie ndio mnaolazimisha mkopo uwe msaada hoja ambayo imefanya Uhuru aonekane kweli ni zungu la unga kama sio chronic thug member asiejielewa mbele ya noble panel.
 
Mkopo wa WD huwezi linganisha na wachina or USA
 
Toa ushamba humu..Hata wewe kwako nyumbani kuna vitu unanunua cash na zingine unanunua kwa mkopo.
Sasa kama gari lako lipo kwa loan, haufai kusema kwamba umenunua chakula chako cha leo cash? Limbukeni
 
Toa ushamba humu..Hata wewe kwako nyumbani kuna vitu unanunua cash na zingine unanunua kwa mkopo.
Sasa kama gari lako lipo kwa loan, haufai kusema kwamba umenunua chakula chako cha leo cash? Limbukeni
Mnajifanya kutomuelewa, au mnalazimisha mambo ambayo yeye hajasema.

Si mlisema Tanzania haikopi kwa yeyote, ni nchi inayojitegemea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…