Benki ya Dunia yaipatia Tanzania mkopo wa 1.8 Trillion. To be paid after 40 Years

1.8trilion, vipi ile 1.5 trilion iliyozama bahari Hindi.
 
Atachukua, atajengea reli.

Sio kama nalalamika!
 
Atachukua, atajengea reli.

Sio kama nalalamika!
Acha ushamba. World Bank inapotoa pesa huwa pia wana hakikisha zimefanya kazi iliyokusudia. Lasivyo wanakatisha mlija😂😂😂
 
Ni world Bank sio China or US and to be paid within 40 years. 1 trillion for electric power in rural areas and 800 billion for water supply in rural areas😂😂😂😂 We put the money were the mouth is. World Bank has confidence with TZ. Kenya WB hamuwezi tia guu lenu kwa sasa.
Pia kuna pesa nyingine wanatoa muda sio mrefu. 😂😂😂
Magufuli hasafiri lakini pesa zinakuja.
mkopo ni mkopo ndugu iwe inatoka WB au China au US...actually, you dont have a point
emoji23.png
emoji23.png
...kisha kama mwenzako hapo alivyosema, mkopo sio jambo la kujivunia unless itatumika vyema..ikitumika kwa manufaa ya wananchi hata kama inafaa ilipwe kwa miaka mitano tu ni sawa kabisa...Finally, Kenya itakapochukua mkopo Geza Ulole et al. hawatakuwa na cha kunena sasa...mwenzao kashajipiga bao...hii ndio inaitwa shooting your own foot

ushajipiga bao...kisha kama mwenzako hapo alivyosema, mkopo sio jambo la kujivunia unless itatumika vyema..ikitumika kuiendeleza nchi bila shaka subiri heko toka kwangu...alafu sasa Kenya itakapochukua mkopo Geza Ulole hana cha kunena sasa...ushajipiga bao...
Mkopo wa China niwa moto🔥🔥 Ukichukua hakuna swala la negotiation 😂😂😂 Wenyewe Bagamoyo tuliwaachia wapambane na hali yao😂😂😂 Terminal three ya JNIA pia tuliwakataa.
 
basi huna uelewa wowote wa mambo haya ya mkopo..una bahatisha tu
 
mkopo ni mkopo ndugu iwe inatoka WB au China au US...actually, you dont have a point
emoji23.png
emoji23.png
...kisha kama mwenzako hapo alivyosema, mkopo sio jambo la kujivunia unless itatumika vyema..ikitumika kwa manufaa ya wananchi hata kama inafaa ilipwe kwa miaka mitano tu ni sawa kabisa...Finally, Kenya itakapochukua mkopo Geza Ulole et al. hawatakuwa na cha kunena sasa...mwenzao kashajipiga bao...hii ndio inaitwa shooting your own foot
emoji23.png
emoji23.png
Mikopo hutofautiana na mashariti. Mingine inasameheka. Sio kama ya Mchina wa sasa.😂😂😂
 
Ni world Bank sio China or US and to be paid within 40 years. 1 trillion for electric power in rural areas and 800 billion for water supply in rural areas[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We put the money were the mouth is. World Bank has confidence with TZ. Kenya WB hamuwezi tia guu lenu kwa sasa.
Pia kuna pesa nyingine wanatoa muda sio mrefu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Magufuli hasafiri lakini pesa zinakuja.
Nimekumbuka zile pesa za MCC almost one trillion tulikua tunapewa bure kwa ajili ya REA....Leo tunakopa
 
Mikopo hutofautiana na mashariti. Mingine inasameheka. Sio kama ya Mchina wa sasa.😂😂😂
swali langu ni hili....mmechukua mkopo? kama jibu ni ndio basi umewa contradict wenzako tayari...thats my point..period....kuna wakati humu hakukuwa kunakalika kisa Kenya ilichukua mkopo toka kwa mchina...tukaambiwa kuwa tz huwa inalipia ndege kwa cash...reli inajengwa na hela za serikali...nikashindwa ni nchi ipi hio ambayo huwa haichukui mikopo...wakenya wakasema hata nchi zilizondelea huwa na mikopo..mfano USA ina deni kubwa ya wachina...mkasema hatufai kufananisha nchi zilizoendelea na nchi za ulimwengu wa tatu
emoji23.png
emoji23.png
..tukanyamaza
emoji23.png
emoji23.png
...
 
ni nani aliyesema mkopo ni msaada?
emoji23.png
emoji23.png
Nyie ndio mnaolazimisha mkopo uwe msaada hoja ambayo imefanya Uhuru aonekane kweli ni zungu la unga kama sio chronic thug member asiejielewa mbele ya noble panel.
 
swali langu ni hili....mmechukua mkopo? kama jibu ni ndio basi umewa contradict wenzako tayari...thats my point..period....kuna wakati humu hakukuwa kunakalika kisa Kenya ilichukua mkopo toka kwa mchina...tukaambiwa kuwa tz huwa inalipia ndege kwa cash...reli inajengwa na hela za serikali...nikashindwa ni nchi ipi hio ambayo huwa haichukui mikopo...wakenya wakasema hata nchi zilizondelea huwa na mikopo..mfano USA ina deni kubwa ya wachina...mkasema hatufai kufananisha nchi zilizoendelea na nchi za ulimwengu wa tatu
emoji23.png
emoji23.png
..tukanyamaza
emoji23.png
emoji23.png
...
Mkopo wa WD huwezi linganisha na wachina or USA
 
Toa ushamba humu..Hata wewe kwako nyumbani kuna vitu unanunua cash na zingine unanunua kwa mkopo.
Sasa kama gari lako lipo kwa loan, haufai kusema kwamba umenunua chakula chako cha leo cash? Limbukeni
 
Mnajifanya kutomuelewa, au mnalazimisha mambo ambayo yeye hajasema.

Si mlisema Tanzania haikopi kwa yeyote, ni nchi inayojitegemea?
 
Back
Top Bottom