Benki ya Dunia yaipatia Tanzania mkopo wa 1.8 Trillion. To be paid after 40 Years

Uhuru angepata hio pesa tungesikia mambo ya blue economy na megaprojects za kuiba pesa.

Pesa haingefika Kwa wanainchi vijiini.
Swala la maji na umeme linaenda kuwa historia TZ
 
Soma hapo chini.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna tofauti gani ni kile ulichosema wewe?! Kwamba soft loan... swali langu ni "je, unafahamu terms za huo mkopo?" Hiyo screenshot haijajibu swali!
 
waswahili wajingaaaa aiseee....wamekenua magego yote njeee wakifurahia mokopoooo!!
 
Kuna tofauti gani ni kile ulichosema wewe?! Kwamba soft loan... swali langu ni "je, unafahamu terms za huo mkopo?" Hiyo screenshot haijajibu swali!
Ni mkopo wenye mashariti nafuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚unataka tukupatie document ambayo ni siri yetu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kabla hujakimbilia kusema hii ni soft loan, unaweza kutueleza hapa terms zake zipo vipi?! Au kwa vile mkopo unalipwa kwa kipindi cha miaka 40 ndo tayari kwako umeshaona ni soft loans?!

Ahaaa haaa haaa
My broda hiyo ni concessional loan from the World BANK group which is quite different from commercial or market loan toka ExIm Bank of China.
 
Mashariti ya mkopo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ahaaa haaa haaa
Suala ni aina ya mikopo. Sisi hatufurahii tu eti kwa sababu tumepata mkopo, LAZIMA tuangalie aina ya mikopo pia. Sasa hii concessional loan is more or less like a Grant.

Funny people. Acheni kupindisha hoja yetu sisi wakenya hapa.

Tanzania hivi sasa sio kibaraka cha wazungu kama mlivyokuwa mkisema kuhusu Kenya, ambayo ni omba omba kwa hawa hawa wazungu, wachina, Afdb nk?

Hivi sasa where is the fundamental difference btwn the Chinese loan na WB loan au Afdb. Are they not just loans, conditions notwithstanding?
 

Ahaaa haaa haaa
Don't be funny like dat dude!!
Just consult prof. Google on the difference between concessional loans FROM World BANK Group and commercial or market loan from the Export Import Bank of China.
 
Ahaaa haaa haaa
My broda hiyo ni concessional loan from the World BANK group which is quite different from commercial or market loan toka ExIm Bank of China.
Hujajibu swali...
 
Ni mkopo wenye mashariti nafuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚unataka tukupatie document ambayo ni siri yetu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sijauliza kuhusu docs but terms!
 
Mbona kila kitu kiko waaziii??
Nakusihi, embu nenda kwa Prof. Google halafu ndo uje tena.
Duh! Kwahiyo unadhani every World Bank concession lending is the same?! What's so special watakachoniambia Google mbali na general understanding of World Bank concession lending?!

What I need to know specific terms zilizopo kwenye mkopo! Your Professor Google can't answer that question at least for now! Tusijisahaulize kwamba ni hizo hizo World Bank loans ndizo zilikuwa zinawatoa kamasi akina Nyerere na hatimae third world countries kujikuta ni captives wa haya mashirika ya fedha!!
 

Ahaaa haaaa haaaaa
Hata mimi mwenyewe hizo terms of loan za WBG sina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ