Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Kuwa huko muda mrefu ni jambo jingine na kukutwa huko nalo ni jambo jingine, Je kwa mujibu wa andiko hili vigezo vilivyobadilishwa vimewafanya hao waliokuwa huko kupanda au?
Kilichotokea ni kubadili devision 0 kua devision 5 nothin more.
Still tunaishi kwa kutumia less 1$ kwa siku
 
Haijalishi aliyefunga goli ndio huonekana shujaa machoni pa watu
Kwani kuna aliyesema ni mwingine ndie kafunga goli?! Hoja hapa ni uthibitisho kwamba Magu ameharibu uchumi! How come 4 budgets awe amepandisha GNI per capita for less than $100
 
Mkuu una haki ya kusoma kama ilivyo sababu ndio reasoning yako ilivyo. Nakumbuka kuna uzi uliletwa hapa marekani ina madeni 130% ya pato lake watu wakatoka mapovu weee kuwa kumbe wazungu hamna kitu mpka wakope mara cjui madeni ni makubwa kuliko Tanzania.

Kupitia ule uzi ndio nikaelewa nchi yetu ina watu wa aina gani, yaani wakiona kichwa cha habari tu wanaunga tela bila kusoma taarifa.

Nimeweka hapa uchambuzi wa uchumi wa zimbabwe wa hao world bank afu ushangae kivipi imewekwa uchumi wa kati!! Kma hutaelewa hapa basi endelea kupiga makofi
Overview
 
Who has to care abt Kenya?
Get a rest ... tunashangilia kilichopo..

U know what? WB wamekanusha hiyo barua..

I hope you will soon get better[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Theat's the only way Team Magu can "argue"! Kama nilivyowahi kusema hapo kabla, ningekuwa JPM ningejisikia aibu sana kuwa na wafuasi aina ya wafuasi alionao!!!!

Anyway, stay blessed manane napenda kujadili hoja, unfortunately tangu uanze umeshindwa kabisa kuleta hoja!!!
 
Utetezi mwingine wa ajabu kweli, kwahiyo kama hii haiwezi kuwa habari ya kimaifa kwamba wao wanapima habari zao ila habari ya mtu mlevi kuporomoka kwenye ngazi kisha kuteguka mguu hiyo ndio habari yenye hadhi ya kimaifa.

Nimesema it's not a news-worthy. Hiyo ripoti imetolewa.kwa mataifa yote duniani na kuna mataifa yamefanya vizuri au vibaya kuliko matarajio. Hiyo ndiyo news. TBC haiwezi kutaja majina ya shule moja baada ya moja baada ya matokeo ya mitihani ya shule. Inatangaza zilizofanya vizuri na vibaya tu. Hao wengine.wanakuwa generalised tu. Hope you have got my point.

On the other hand Mbowe kutenguka mguu controversially is a piece of information which is a bit interesting and weird to hear. Kuna viongozi wangapi wa kambi za upinzani duniani kwa siku ile wamepata majanga? This is what we call a news - worthy report. Kama hujanifahamu basi iko haja ya kuanza tena shule ya chekechea!
 
Kuna kitu kinaitwa kuagua....

Watu wanafuraha unaenda kupiga lamli kwann wanafuraha...

Sababu zako za msingi ila kwa leo acha tupige makofi... nicheki next time boss[emoji3][emoji3]
 
Hoja zako nzuri hazivunji furaha yetu ndogo..
Thats how much evil you are...

Labda majority tumeamua ku appreciate alittle progress... wewe unakazana kuzuia furaha za watu kisa una hoja..

To hell with your hoja[emoji3][emoji3]
 
Kwani kuna aliyesema ni mwingine ndie kafunga goli?! Hoja hapa ni uthibitisho kwamba Magu ameharibu uchumi! How come 4 budgets awe amepandisha GNI per capita for less than $100
Shida yenu huwa mnajiandaa kupinga tuuu utafikiria ninyi ni wakimbizi kwenye nchi hii
 
Ndio waliovaa kanga ya mamako...

Usiwakosehe heshima viongozi hao..

Imeandikwa anayevaa khanga ya mamako ndio baba yako... Kwakuwa ndio viongozi wako waheshimu tu anyway.

Google maana ya utopolo.
Mimi mtanzania by accident tu nchi gani ina viongozi wapuuzi na inaendeshwa kipuuzi.
.
Ukikosoa kosa yani ahsksmamabsks
 
world bank ni mabeberu hawa na watakuwa waongo hawaitakii mema inchi yetu.
 
Shida yenu huwa mnajiandaa kupinga tuuu utafikiria ninyi ni wakimbizi kwenye nchi hii
I mean no disrepect lakini kama nilivyosema hapo awali, najadili hoja! Hoja ingekuwa ni kupinga kwa hoja nilichoandika!!
 
Mabeberu huwa wanapingwa sana na kuonekana hawatutakii mema. Kwa kutoa habari hii mabeberu wamukuwa “baniani mbaya kiatu chake dawa”. Wamesafishwa.

Siku wakisema uchumi wetu unakua kwa 5% tukubali pia.
 

Hizi ni habari njema, lakini jambo serikali inapaswa kuwaambia wananchi ni kwamba Tanzania bado inabaki katika kundi la Nchi Masikini Kuliko Zote Duniani (LDCs) kwa mujibu wa hicho kipato kilichotuweka kwenye "nchi tajiri".



Angalia kwamba kwa sasa Income per Capita $1080, na ili tutoke kwenye kundi la LDC tunahitaji kuwa na Income per Capita zaidi ya $1229
 
Nimekuelewa mkuu; kwa hiyo kwa miaka hii mitano tumeongeza 56 usd per person per year, Anyway its not great but its good kwa kuwa hatukurudi nyuma
 
Kama tuna uwezo wa kulipa, hilo deni la taifa mbona linazidi kupaa? Inakuwaje tunaomba kusamehewa madeni badala ya kudhibisha uwezo wetu wa kulipa? Mkuu uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
Wewe ndio uhuze uo ubongo wako, maana kama unabishana na wataharamu, beki ya dunia wametoa data zao kuwa Tanzania imeingia ktk kipato cha kati, wewe unakomalia madeni Ujui kuwa hata America taifa kubwa wanadaiwa deni kubwa,. Narudia tena ukiona unakopesheka jua anayekukopesha ameona unaouweza wa kulipa, kama unanibishia kuwa una kitu nenda Kwa jirani yako mwambie nikope uone jibu lake.
 
Yaani sielewi hapa kosa au shida iko wapi kwa Jpm kujipongeza. Hivi kosa liko kwa Jpm kusema takwimu walizotoa WB kuhusu uchumi wa Tanzania au kosa ni WB wamedanganya? Kama kosa ziko kwenye takwimu kwa nini tusiwajadili WB kwa kupotosha ukweli na tukatoa Statistical analysis za kiuchumi za kwetu zinazoonyesha uhalisia?

Hapa zinaletwa takwimu, watu wanagoogle huko na kuzileta humu, kwani wasilaumiwe waliotoa takwimu hizi? Na ni lini Tanzania imewahi kuandikwa kama Lower-middle income kabla ya mwaka huu? Kuna ushahidi wowote hizo takwimu kuwahi kuwepo zaidi ya mwaka huu? Nafikiri hapa shida ni hesabu tu watu kuamua kupinga kila kitu. Kama kuna mtu anakumbuka maswali ya LOWER REAL LIMIT na UPPER REAL LIMIT yanapatikana wapi ataelewa nini kinachozungumzwa.

Hivi mtu akisema A itaanzia 75_100 kwa hiyo aliyepata 75-80 hatahesabiwa kama amepata A ila wa 90-100 ? Mbona vitu vidogo tunataka kuvifanya vionekane ni mjadala mkubwa?

Kwa mujibu wa WB ya dunia ili uwe kwenye uchumi wa kati ni lazima watu wa nchi husika waishi kwa angalau 2000-4000 kwa siku. Pia kundi lingine linaloanzia angalau 4000-9000 kwa siku. Hivyo range ya nchi ya uchumi wa kati ni angalau (2000-4000)chini- (4000-9000)juu.

Ninachojua ni kweli tanzania iko uchumi wa kati. Labda niambiwe World Bank wametoa takwimu za uongo na hawa ndio inabidi tuwajadili uongo wao. Lakini kama Word Bank wako sahihi na hii ni taarifa yao basi JPM yuko sahihi na ana haki ya kujipongeza. Hakuna ubaya wa kujipongeza kwa kila hatua nzuri unayoifikia haijalishi ina ukubwa gani.
 
Hakika Hii ni Thread nyingine nzuri sana Mkuu,ipaishe umeongea uhalisia hakika asiyeelewa ana utindio wa Ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…