Benki ya Dunia yasitisha Mikopo Mipya ya Uganda kutokana na Sheria ya Kuzuia Mapenzi ya Jinsia Moja

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1691558530284.png
Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja.

"Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha juhudi hizo. Kujumuika na kutobaguliwa ndio msingi wa kazi yetu duniani kote.” Inasomeka sehemu ya taarifa hiyo.

Juni 2023, Marekani iliweka Vikwazo vya Kusafiri kwa Maafisa wa Uganda ikiwa ni kujibu hatua za Rais Museveni kusaini Sheria hiyo inayotoa Kifungo cha hadi miaka 20 kwa kosa la Kushawishi Mapenzi ya Jinsia Moja.

===========

The World Bank Group today released the following statement on Uganda:

“Uganda’s Anti-Homosexuality Act fundamentally contradicts the World Bank Group’s values. We believe our vision to eradicate poverty on a livable planet can only succeed if it includes everyone irrespective of race, gender, or sexuality. This law undermines those efforts. Inclusion and non-discrimination sit at the heart of our work around the world.

Immediately after the law was enacted, the World Bank deployed a team to Uganda to review our portfolio in the context of the new legislation. That review determined additional measures are necessary to ensure projects are implemented in alignment with our environmental and social standards. Our goal is to protect sexual and gender minorities from discrimination and exclusion in the projects we finance. These measures are currently under discussion with the authorities.

No new public financing to Uganda will be presented to our Board of Executive Directors until the efficacy of the additional measures has been tested.

Third-party monitoring and grievance redress mechanisms will significantly increase, allowing us to take corrective action as necessary.

The World Bank Group has a longstanding and productive relationship with Uganda; and we remain committed to helping all Ugandans—without exception—escape poverty, access vital services, and improve their lives.

WORLD BANK
 
Aise tutafute pesa wadau. Usipokuwa na pesa unapelekeshwa sana, unaweza kuzalilishwa mbele ya watoto wako.
 
Hivyo sisi tunaopewa tumekubali au mbona sielewi...?
Tumekaa tu tunaona mikopo kumbe tayari tupo kwenye mstari bila kujijua...😂
 
INNA LILAH WAINA ILAIH RAGIUN.

msiba mkubwa huu kulazimisha watu kukubali ushoga kwa lazima.

Umeelewa statement au umekurupuka, halafu wapi huko mashoga wanalazimishwa, by the way mtu akiamua kuliwa mtaro wewe kinachokuuma sana ni nini hasa?
 
Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja.

"Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha juhudi hizo. Kujumuika na kutobaguliwa ndio msingi wa kazi yetu duniani kote.” Inasomeka sehemu ya taarifa hiyo.

Juni 2023, Marekani iliweka Vikwazo vya Kusafiri kwa Maafisa wa Uganda ikiwa ni kujibu hatua za Rais Museveni kusaini Sheria hiyo inayotoa Kifungo cha hadi miaka 20 kwa kosa la Kushawishi Mapenzi ya Jinsia Moja.

===========

The World Bank Group today released the following statement on Uganda:

“Uganda’s Anti-Homosexuality Act fundamentally contradicts the World Bank Group’s values. We believe our vision to eradicate poverty on a livable planet can only succeed if it includes everyone irrespective of race, gender, or sexuality. This law undermines those efforts. Inclusion and non-discrimination sit at the heart of our work around the world.

Immediately after the law was enacted, the World Bank deployed a team to Uganda to review our portfolio in the context of the new legislation. That review determined additional measures are necessary to ensure projects are implemented in alignment with our environmental and social standards. Our goal is to protect sexual and gender minorities from discrimination and exclusion in the projects we finance. These measures are currently under discussion with the authorities.

No new public financing to Uganda will be presented to our Board of Executive Directors until the efficacy of the additional measures has been tested.

Third-party monitoring and grievance redress mechanisms will significantly increase, allowing us to take corrective action as necessary.

The World Bank Group has a longstanding and productive relationship with Uganda; and we remain committed to helping all Ugandans—without exception—escape poverty, access vital services, and improve their lives.

WORLD BANK
Umeniwahi 😁😁😁 nimeona hii bahari ya mambo ya ushoga.

Pia Serikali ikae Mkao wa tahadhari maana Waziri wa Sheria amesema kwenye maboresho ya sheria za ukatili na hii ya ushoga itaongezewa makali.
Screenshot_20230809-070530.jpg
 
#HABARI Benki ya dunia imetangaza kusitisha mikopo mipya kwa Uganda kutokana na nchi hiyo kupitisha sheria kali dhidi ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.

Benki hiyo imesema sheria hiyo iliyopitishwa miezi michache iliyopita inakwenda kinyume na misingi na maadili ya benki ya dunia ambayo haibagui yeyote kwa misingi ya jinsia, jinsi au rangi yake katika azma yake ya kutokomeza umasikini duniani.

Hadi mwishoni mwa mwaka 2022, Benki ya Dunia ilitoa kitita cha dola bilioni 5.4 kufadhili miradi ya maendeleo nchini Uganda ikiwa ni pamoja na miradi mingi ya afya na elimu ambayo inaweza kuathiriwa na hatua hii mpya.

#EastAfricaTV

1691571749519.png
 
ni

View attachment 2712519
wazungu wapumbavu sana!!
 
Duuh asee mbona jicho limefanywa lulu kwani kuna nini kwenye jicho hapoo mbona ni samadi tu na harufu mbayaaa kama mzoga..
 
#HABARI Benki ya dunia imetangaza kusitisha mikopo mipya kwa Uganda kutokana na nchi hiyo kupitisha sheria kali dhidi ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.

Benki hiyo imesema sheria hiyo iliyopitishwa miezi michache iliyopita inakwenda kinyume na misingi na maadili ya benki ya dunia ambayo haibagui yeyote kwa misingi ya jinsia, jinsi au rangi yake katika azma yake ya kutokomeza umasikini duniani.

Hadi mwishoni mwa mwaka 2022, Benki ya Dunia ilitoa kitita cha dola bilioni 5.4 kufadhili miradi ya maendeleo nchini Uganda ikiwa ni pamoja na miradi mingi ya afya na elimu ambayo inaweza kuathiriwa na hatua hii mpya.

#EastAfricaTV

View attachment 2712521
Uganda ni kubwa kuliko bank ya dunia. Uganda ilikuwepo tangu enzi na enzi na watu waliishi vizuri tu
 
Until Africans learn to be independent and self-sufficient Africa will never be respected.
 
Moja Kati ya vikwazo kwa Umoja wa Ulaya na Umoja wa mataifa kufikia malengo yake ni kushindwa kuendena na mahitaji ya kizazi cha sasa hasa Afrika.

Kizazi cha sasa cha Afrika kitaendelea kufurahia mapinduzi ya kijeshi mpaka pale Marekani na Washirika wake watakapo kubali kubadilika.

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Benki ya Dunia yasitisha mikopo kwa Uganda kwasababu ya sheria yake ya mapenzi ya jinsi moja

Benki hiyo imesema sheria hiyo inayoharamisha LGBTQ iliyopitishwa miezi michache iliyopita inakwenda kinyume na misingi na maadili ya benki ya dunia ambayo haibagui yeyote kwa misingi ya jinsia, jinsi au rangi yake katika azma yake ya kutokomeza umasikini duniani.
 
Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja.

"Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha juhudi hizo. Kujumuika na kutobaguliwa ndio msingi wa kazi yetu duniani kote.” Inasomeka sehemu ya taarifa hiyo.

Juni 2023, Marekani iliweka Vikwazo vya Kusafiri kwa Maafisa wa Uganda ikiwa ni kujibu hatua za Rais Museveni kusaini Sheria hiyo inayotoa Kifungo cha hadi miaka 20 kwa kosa la Kushawishi Mapenzi ya Jinsia Moja.

===========

The World Bank Group today released the following statement on Uganda:

“Uganda’s Anti-Homosexuality Act fundamentally contradicts the World Bank Group’s values. We believe our vision to eradicate poverty on a livable planet can only succeed if it includes everyone irrespective of race, gender, or sexuality. This law undermines those efforts. Inclusion and non-discrimination sit at the heart of our work around the world.

Immediately after the law was enacted, the World Bank deployed a team to Uganda to review our portfolio in the context of the new legislation. That review determined additional measures are necessary to ensure projects are implemented in alignment with our environmental and social standards. Our goal is to protect sexual and gender minorities from discrimination and exclusion in the projects we finance. These measures are currently under discussion with the authorities.

No new public financing to Uganda will be presented to our Board of Executive Directors until the efficacy of the additional measures has been tested.

Third-party monitoring and grievance redress mechanisms will significantly increase, allowing us to take corrective action as necessary.

The World Bank Group has a longstanding and productive relationship with Uganda; and we remain committed to helping all Ugandans—without exception—escape poverty, access vital services, and improve their lives.

WORLD BANK
Haya ni maandalizi ya utawala wa mpinga Kristo,ambapo serikali moja ya dunia, dini moja, uchumi mmoja, na mtawala mmoja utashika hatamiu.
 
Back
Top Bottom