mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,962
- 2,477
kha! kumbe ni mradi wa watu wa mijini?maskini sijui babu na bibi yangu kule kijijini sijui watakumbukwa lini?Msukumo mwingine wa kuidhinisha mabilioni hayo,
Taarifa hiyo, inaeleza kwamba benki ya dunia, iliidhinisha fedha hizo, kwa sababu wakazi wengi katika maeneo ya mijini, wanakabiliwa na matatizo ya makazi.
Inaeleza kwamba watu wengi wana matatizo ya makazi kutokana na kasi kubwa ya ongezeko la watu mjini na kusababisha ujenzi wa makazi holela bila kufuata utaratibu kwenye maeneo ambayo hayajapimwa.