Benki ya Dunia: Zaidi ya dola milioni 680 zimewekwa na watanzania katika mabenki ya kigeni kutokana na kuongezeka kwa mikopo na misaada kutoka nje

Benki ya Dunia: Zaidi ya dola milioni 680 zimewekwa na watanzania katika mabenki ya kigeni kutokana na kuongezeka kwa mikopo na misaada kutoka nje

mimi binafsi sheria ya money laundering kwangu huwa naiona ujinga mtupu

pesa mabilioni zikitoka nchi zetu kwenda kwao sio money laundering wanazipokea wanaziweka kwenye benki zao ziimarishe uchumi wao

Za kwao zikija kwetu tunakomaliwa hadi tukome kuwa ni za money laundering au lazima tuzitolee maelezo

Mungu angenipa uraisi kitu cha kwanza ningefanya ni kuifuta sheria ya money laundering na pili mtu hata awe na mabilioni ya pesa akileta toka nje sihangaiki kumhoji hata kama kabeba kwenye kiroba

hawa watu wanatuchezea sana wanatufanya sisi migambo wa kuwalindia pesa zao zisiingie hovyo kwetu wakati zetu hawatulindii zisiingie hovyo kwenye benki zao.

to hell with money laundering laws
 
Zitto Kabwe acha unoko
hizo pesa ziililetwa kwa ajili ya watanzania na huko mabenki ya nje ziliko ni za watanzania .

bado ziko mikononi mwetu watanzania
 
Hao waficha pesa nje ndio walistahili wawepo magerezani na si huyo mwandishi wa habari (jina nimesahahu)

Zitto
unganisha na kupata majina,kiasi,mahali walikozificha
 
Naona akili zinaanza kukurudia, utashangaa unayemtetea nae ana account huko, CCM oyeeeee
Wewe JP, panapo ukweli nyamaza ama pinga kwa hoja. Hata sie ni wanachama tena wa kulipia kadi na fee zote za chama, lakini maovu yakifanywa na viongozi wetu ni wakwanza kukemea, singoji mpinzani aninyooeshee kidole, na wala simkebehi.

Tunapigwa mchanga wa macho tukiwa macho, wako wapi akina Professor Kabudi, Mpango, Bashiru n.k...,

Hii habari haikuvujishwa na Zitto na wala hakuhitaji utafiti wowote, ipo kwenye tovuti ya huyo mwana mama aliyejiuzulu WB.

Cha kushangaza, pesa zilizoibiwa TZ, zimesafirishwa nila maficho na hazikwenda kwenye nchi au mabenki yanayotumika kuficha pesa.

Hii ni fedheha kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Umesoma ukaelewa au umepayuka tu
mimi binafsi sheria ya money laundering kwangu huwa naiona ujinga mtupu

pesa mabilioni zikitoka nchi zetu kwenda kwao sio money laundering wanazipokea wanaziweka kwenye benki zao ziimarishe uchumi wao

Za kwao zikija kwetu tunakomaliwa hadi tukome kuwa ni za money laundering au lazima tuzitolee maelezo

Mungu angenipa uraisi kitu cha kwanza ningefanya ni kuifuta sheria ya money laundering na pili mtu hata awe na mabilioni ya pesa akileta toka nje sihangaiki kumhoji hata kama kabeba kwenye kiroba

hawa watu wanatuchezea sana wanatufanya sisi migambo wa kuwalindia pesa zao zisiingie hovyo kwetu wakati zetu hawatulindii zisiingie hovyo kwenye benki zao.

to hell with money laundering laws

Don't make a promise you can't fulfill...
 
hata bitcoin sijui inafanyaje kazi, kuna watu mnapenda sana kuamini uongo
Sasa pamoja na ukweli huu wa kuficha pesa nje kwa nini hao hao Wazungu nao wanaendelea kutupa mikopo ambayo inaishia mikononi mwa watu? Kwa nini wasiweke majina hadharani ili tujue mpinga rushwa yeye kaficha kiasi gani?
 
Ukiona nyimbo za uzalendo zinazidi ktk utawala gandamizi unaoficha taarifa za uwazi na ukweli zisiwafikie wananchi basi pana mazingira ya rushwa kubwa sana. Taarifa hii ya World Bank inahitimisha ukweli huo. Miradi michache mikubwa sana ya pesa nyingi tasilimu na mikopo mikubwa kuelekea ktk miradi hiyo ndiyo mianya ya kupelekea rushwa kubwa.

Lile dili la dizaini ya washikaji 'zimamoto' ni la watu wakaona kwanini nao wasifanye wakati wanaona kuna kundi la watu wachache wanapiga pesa nyingi chafu wakaamua nao wajaribu.

Hilo dili mbona halikuweza kutokea na limetokomezwa. Unaweza kutwambia dili mlizokuwa mnaneemeka nazo za NSSF?
 
Makonda kaficha pesa nyingi sana Marekani na ndiye anayeongoza list ya watanzania walioficha pesa sana nje. Ndio maana anaweweseka sana baada ya familia yake yote kupewa bun.

Unamwamini zito kabwe huyu huyu aliyesema kuna pesa zimefichwa nje kipindi cha kikwete, na kisha kushindwa kuwataja majina? Baada ya muda ikaonekana ni za wafanya biashara na ni halali yao, sasa leo kaanza tena, siku ijijulikana utakuta ni za akina mo, manji, bahlesa na wengine ndizo anatwambia zimefichwa. Zito sio wa kuamini hata kidogo, na akijuwa kuna watu akili hazipo sawa wanamsapoti basi yeye anaweka ujinga kisha wenyewe wanampamba yeye katulia, anawacheku tu na darubini.
 
Ukiona nyimbo za uzalendo zinazidi ktk utawala gandamizi unaoficha taarifa za uwazi na ukweli zisiwafikie wananchi basi pana mazingira ya rushwa kubwa sana. Taarifa hii ya World Bank inahitimisha ukweli huo. Miradi michache mikubwa sana ya pesa nyingi tasilimu na mikopo mikubwa kuelekea ktk miradi hiyo ndiyo mianya ya kupelekea rushwa kubwa.

Lile dili la dizaini ya washikaji 'zimamoto' ni la watu wakaona kwanini nao wasifanye wakati wanaona kuna kundi la watu wachache wanapiga pesa nyingi chafu wakaamua nao wajaribu.

Ukiisoma hiyo ripoti vizuri utaona kuwa data zao ni za mwaka 2010 kurudi nyuma.
 
Back
Top Bottom