Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Toa ushahidi
Mwache aje mwenyewe kama ana ubavu aje adai ushahidi, si yumo humu verified au wewe ndio kuwadi wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ushahidi
hata bitcoin sijui inafanyaje kazi, kuna watu mnapenda sana kuamini uongo
Toa wa kwako kama sio kweliToa ushahidi.
Umeandika kwa hisia kali sana. Sisi ndiyo nimekuwa wajinga tunatumia Sheria ya AML kuwatesea wakosoaji.mimi binafsi sheria ya money laundering kwangu huwa naiona ujinga mtupu
pesa mabilioni zikitoka nchi zetu kwenda kwao sio money laundering wanazipokea wanaziweka kwenye benki zao ziimarishe uchumi wao
Za kwao zikija kwetu tunakomaliwa hadi tukome kuwa ni za money laundering au lazima tuzitolee maelezo
Mungu angenipa uraisi kitu cha kwanza ningefanya ni kuifuta sheria ya money laundering na pili mtu hata awe na mabilioni ya pesa akileta toka nje sihangaiki kumhoji hata kama kabeba kwenye kiroba
hawa watu wanatuchezea sana wanatufanya sisi migambo wa kuwalindia pesa zao zisiingie hovyo kwetu wakati zetu hawatulindii zisiingie hovyo kwenye benki zao.
to hell with money laundering laws
Alitoa list ilijaa majina ya watanzania wenye asili ya India tuZitto alisema anayo list ya watanzania walioficha fedha nje ataitoa,je amekwishaitoa?
karibu sana jukwaani kiongozihata bitcoin sijui inafanyaje kazi, kuna watu mnapenda sana kuamini uongo