hata bitcoin sijui inafanyaje kazi, kuna watu mnapenda sana kuamini uongo
Si mumpeleke mahakamaniWanasiasa ni watu wa ajabu sana, yeye mwenyewe ameficha pesa nyingi sana kwa kununua bitcoin.
Salary Slip,
Bwashee gombea nafasi ya Uenezi pale ACT wazalendo......Shaibu ameiachia hiyo nafasi anautamani ukatibu mkuu!
Kwa maana hiyo wiki ina siku 1.Mzalendo wa kweli, baba wa wanyonge, dereva wa lori, mnyapala wa barabara, a.k.a jiwe kubwa la msingi, atazirudisha zote...
Everyday is Saturday..................... 😎
Salary Slip,
Bwashee gombea nafasi ya Uenezi pale ACT wazalendo......Shaibu ameiachia hiyo nafasi anautamani ukatibu mkuu!
Mheshimiwa achana na hizi call boxeshata bitcoin sijui inafanyaje kazi, kuna watu mnapenda sana kuamini uongo
Wewe JP, panapo ukweli nyamaza ama pinga kwa hoja. Hata sie ni wanachama tena wa kulipia kadi na fee zote za chama, lakini maovu yakifanywa na viongozi wetu ni wakwanza kukemea, singoji mpinzani aninyooeshee kidole, na wala simkebehi.
Tunapigwa mchanga wa macho tukiwa macho, wako wapi akina Professor Kabudi, Mpango, Bashiru n.k...,
Hii habari haikuvujishwa na Zitto na wala hakuhitaji utafiti wowote, ipo kwenye tovuti ya huyo mwana mama aliyejiuzulu WB.
Cha kushangaza, pesa zilizoibiwa TZ, zimesafirishwa nila maficho na hazikwenda kwenye nchi au mabenki yanayotumika kuficha pesa.
Hii ni fedheha kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi binafsi sheria ya money laundering kwangu huwa naiona ujinga mtupu
pesa mabilioni zikitoka nchi zetu kwenda kwao sio money laundering wanazipokea wanaziweka kwenye benki zao ziimarishe uchumi wao
Za kwao zikija kwetu tunakomaliwa hadi tukome kuwa ni za money laundering au lazima tuzitolee maelezo
Mungu angenipa uraisi kitu cha kwanza ningefanya ni kuifuta sheria ya money laundering na pili mtu hata awe na mabilioni ya pesa akileta toka nje sihangaiki kumhoji hata kama kabeba kwenye kiroba
hawa watu wanatuchezea sana wanatufanya sisi migambo wa kuwalindia pesa zao zisiingie hovyo kwetu wakati zetu hawatulindii zisiingie hovyo kwenye benki zao.
to hell with money laundering laws
Sasa pamoja na ukweli huu wa kuficha pesa nje kwa nini hao hao Wazungu nao wanaendelea kutupa mikopo ambayo inaishia mikononi mwa watu? Kwa nini wasiweke majina hadharani ili tujue mpinga rushwa yeye kaficha kiasi gani?hata bitcoin sijui inafanyaje kazi, kuna watu mnapenda sana kuamini uongo
Toa ushahidi.Hizo pesa za uma zifimefichwa nje na viongozi waandamizi wa serikali ya awamu ya tano
hata bitcoin sijui inafanyaje kazi, kuna watu mnapenda sana kuamini uongo
Ukiona nyimbo za uzalendo zinazidi ktk utawala gandamizi unaoficha taarifa za uwazi na ukweli zisiwafikie wananchi basi pana mazingira ya rushwa kubwa sana. Taarifa hii ya World Bank inahitimisha ukweli huo. Miradi michache mikubwa sana ya pesa nyingi tasilimu na mikopo mikubwa kuelekea ktk miradi hiyo ndiyo mianya ya kupelekea rushwa kubwa.
Lile dili la dizaini ya washikaji 'zimamoto' ni la watu wakaona kwanini nao wasifanye wakati wanaona kuna kundi la watu wachache wanapiga pesa nyingi chafu wakaamua nao wajaribu.
Makonda kaficha pesa nyingi sana Marekani na ndiye anayeongoza list ya watanzania walioficha pesa sana nje. Ndio maana anaweweseka sana baada ya familia yake yote kupewa bun.
Hapo nimesifu nini bwashee?Jifunze kubisha kwa hoja sio kuandika pumba za kusifu kila jambo
Toa ushahidi
Zito wewe ni mwongo nambari moja, unawezaje kuwaonyeshea vidole wezi wenzako?