Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)

Siungi mkono serikali zetu kukopa kwa wachina lakini China si masikini kama usemavyo mkuu.
Income per capita ya China is lower than any of European nation,..... income per capita inapatikana GDP Γ· national population= income per capita......and that is a clear indication economic status of a particular nation......population ya China 2bnpple Γ·$12trn GDP =
 
Kwani dhamana ya huo mkopo ilikuwa ni hiyo bandari ya Mombasa???
 
Frankly speaking, hawa wachina tusipojiangalia watakuja kujimilikishia nchi zote za Africa mashariki manake zote zina madeni makubwa kutoka Exim China.
 
Umesema sawa kabisa, tumekuwa na kawaida ya kuwa na miungu wa ccm ambayo ni hatari kabisa. Lengo lao wao ni kujionyesha tu ili wajinga wawapigie kura. Tutauzwa mpk wajukuu wawajukuu zetu.
Ati mtu aikwa kiongozi basi anafanya atakalo mpk kuua watu. Hii inatoka wapi tutapataje maendeleo? Ni ujinga mkubwa sana
 
Inabidi na sisi tuanze kutia maji kichwani maana wakitoka huko ni bongo na kujichukulia ziwa victoria
 
Nasikia hata zesco ni Mali yao alafu sisi tunazidi kuwakumbatia kisa hawaulizi demokrasia wala utawala bora
JAMAA WAMESHACHUKUA UWANJA WA NDEGE ZAMBIA
SAIVI HADI ZAMBIA POLISI NI WAO πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ujinga umezidi wacha tuvune tunachopanda.
Lastly tutageuka koloni la China, very bad. Mungu atuepushe,niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni ya kichina, najua tabu zao hao jamaa. Sipati picha ikiwa koloni lao tutakavyo pelekeshwa.
 
Yaani mikataba 17 iliyoandikwa kichina ilisainiwa kwa nusu saa
 
Sasa wakitunyang'anya ziwa letu victoria si ndiyo wavuvi wetu watakuwa wametiwa umasikini?
Sio umasikini tu, wengine huko ziwa Victoria ndiyo yalipo makazi yetu kwenye hivyo visiwa vya ukerewe,nansio N.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…