Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)

Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)

Kwetu huwezi kujua hata likitokea kuna usiri mkubwa na uzalendo wakinafiki.....ukweli nikwamba wa China ni wabaya×2 kuliko wazungu.....boro ukopeshwe na tajiri alio starabika kuliko masikini mwezio ambaye anaweza kukunyang'anya hata seruali ukishindwa kumlipa
Seruali......?
 
Income per capita ya China is lower than any of European nation,..... income per capita inapatikana GDP ÷ national population= income per capita......and that is a clear indication economic status of a particular nation......population ya China 2bnpple ÷$12trn GDP =
Hivi population ya China ni 1.6 kwa au 2bn? Lakini uko sahihi hata iwe 1.6 bado ni kubwa na inaathiri pato la mmoja mmoja(per capital income)
 
Benki ya Exim ya China huenda ikaichukua Bandari ya Mombasa, endapo #Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR). Kenya ilikopa TZS trilioni 7.2 kwa ajili ya reli hiyo mwaka 2013.
==========​
Chinese may take over Mombasa port: Ouko

The Daily Nation
SUMMARY
  • The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that it could become a white elephant.
  • A report by Auditor-General Edward Ouko states that the payment agreement substantively means that the revenue of the Kenya Ports Authority would be used to clear the debt.
  • The auditor notes that the agreement is biased since any non-performance or dispute with the bank would be referred to arbitration in China, “whose fairness is resolving the disagreement may not be guaranteed”.
  • Ouko accuses the KPA management of not disclosing the guarantee documents in its financial statements.
Kenya could lose the port of Mombasa to the Chinese government if Kenya Railways Corporation (KRC) defaults in the payment of Sh227 billion owed to Exim Bank of China.

The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that the project by China Roads and Bridges Corporation (CRBC), a Chinese State-owned company, could become a white elephant. The country's sovereignty is now at stake.

View attachment 972261
View attachment 972260

Marekani wanadaiwa mabilioni ya dola na China na bado wanaendelea kukopa. Mbona hatusikii mali za Marekani zinachukuliwa na Mchina? Ufisadi wetu kwanini tumlaumu Mchina?
 
Hata sisi hii mikopo itatuumbua tu

Hii miradi mbali na kuongeza deni la Taifa,ukweli ni kwamba hailipi na zaidi ni mzigo tu kwa hizi serikali zetu.

Hii miradi ingeachiwa private sector au serikali ingekuwa na hisa kidogo lakini sio kumiliki hii miradi kwa asilimia 100.

Niwaambie tu,SGR na ATCL ni mizigo tutakayoibeba kwa kodi zetu.

Tumekuwa mateka wa fahari ya macho na kupuuza uhalisia-mtu mmoja kwa kutumia cheo na madaraka yake kawafanya watu mazuzu wasione mbele.

Watu wanashangilia na kusifu wakati mikataba inafanywa siri na wala hawajiulizi!!
Ndugu yangu Private sector haijengi miundombinu inachofanya private sector ni Uendeshaji
Serikali ikishajenga miundoni mbinu ya Reli private sector wananunua train tu.
Umewahi kuona private sector inajenga viwanja vya ndege?
 
How Greenland could become China's Arctic base
By John SimpsonWorld Affairs Editor

China is flexing its muscles. As the second richest economy in the world, its businessmen and politicians are involved just about everywhere in Asia, Africa and Latin America.
Now, though, China is taking a big interest in a very different part of the world: the Arctic.
It has started calling itself a "near-Arctic" power, even though Beijing is almost 3,000km (1,800 miles) from the Arctic Circle. It has bought or commissioned several ice-breakers - including nuclear-powered ones - to carve out new routes for its goods through the Arctic ice.
And it is eyeing Greenland as a particularly useful way-station on its polar silk road.
_104611044_china_arctic_greenland_640-3x-nc.png

Greenland is self-governing, though still nominally controlled by Denmark.
It is important strategically for the United States, which maintains a vast military base at Thule, in the far north. Both the Danes and the Americans are deeply worried that China should be showing such an interest in Greenland.
Least densely populated place on Earth
You've got to go there to get an idea of how enormous Greenland is.
It's the 12th-largest territory in the world, 10 times bigger than the United Kingdom: two million square kilometres of rock and ice.
_104541430_greenland_ice_scape.jpg
Image captionMost of Greenland is covered in permanent ice - a vast frozen wilderness
Yet its population is minuscule at 56,000 – roughly the size of a town in England.
As a result, Greenland is the least densely populated territory on Earth. About 88% of the people are Inuit; most of the rest are ethnically Danish.
In terms of investment neither the Americans nor the Danes have put all that much money into Greenland over the years, and Nuuk, the capital, feels pretty poor. Denmark does hand over an annual subsidy to help Greenland meet its needs.
Every day, small numbers of people gather in the centre to sell things that will generate a bit of cash: cast-off clothes, children's schoolbooks, cakes they've made, dried fish, reindeer-horn carvings. Some people also sell the bloody carcases of the big King Eider ducks, which Inuits are allowed to hunt but aren't supposed to sell for profit.
China's air power
At present you can only fly to Nuuk in small propeller-driven planes. In four years, though, that will change spectacularly.
The Greenlandic government has decided to build three big international airports capable of taking large passenger jets.
China is bidding for the contracts.
p06tr1p0.jpg

Airport officials say the planned work is a huge project - but an important one
Exit player

Media captionAirport officials say the planned work is a huge project - but an important one
There'll be pressure from the Danes and Americans to ensure the Chinese bid doesn't succeed, but that won't stop China's involvement in Greenland.
Interestingly, I found that opinion about the Chinese tended to divide along ethnic lines.
Danish people were worried about it, while Inuits thought it was a good idea.
The Greenlandic prime minister and foreign minister refused to speak to us about their government's attitude to China, but a former prime minister, Kuupik Kleist, told us he thought it would be good for Greenland.
But the foreign affairs spokesman of the main Venstre party in the Danish coalition government, Michael Aastrup Jensen, was forthright about Chinese involvement in Greenland.
"We don't want a communist dictatorship in our own backyard," he said.
Much-needed wealth
China's sales technique in other countries where its companies operate is to offer the kind of infrastructure they badly need: airports, roads, clean water.
The Western powers that once colonised many of them haven't usually stepped in to help, and most of these governments are only too grateful for Chinese aid.
But it comes at a price.
p06tr1pk.jpg

Media captionThe former prime minister says someone - anyone - has to invest in Greenland

China gets access to each country's raw materials - minerals, metals, wood, fuel, foodstuffs. Still, this doesn't usually mean long-term jobs for local people. Large numbers of Chinese are usually brought in to do the work.
Country after country has discovered that Chinese investment helps China's economy a great deal more than it helps them. And in some places - South Africa is one of them - there are complaints that China's involvement tends to bring greater corruption.
But in Nuuk it's hard to get people to focus on arguments like these.
What counts in this vast, empty, impoverished territory is the thought that big money could be on its way. Kuupik Kleist put the argument at its simplest.
"We need it, you see," he said.
 
Kivipi mkuu hebu fafanua kidogo
watapoteza ushawishi africa alafu ndio dampo la bidhaa zao

waafrica wengi wanampenda saana urusi(nahisi ata wewe) na unaona now putin kaanza kujipenyeza afrika kaanza na syria then katoa mkopo kwa mtoto wao mpendwa wa ujamaa tz

china asipojiangalia umuktonto haitomuacha salama

pia sidhan kama china itafanya upuuzi wa kuchukua mali za tz kwa sababu mbili

moja tz ndie alisaidia kiasi kikubwa china kupenya afrika

tz na china ni kama mfano kwa mataifa mengine kwenye huu urafiki wao

gesi aliyochukua mchina nadhan inamtosha kabisa

tz ni eneo la kimbinu kwa uchumi wa china afrika

tz ndio inapeana kiburi na china kuhusu EPA nadhan tz akisaini huo mkataba china kazi anayo
 
Hata sisi hii mikopo itatuumbua tu

Hii miradi mbali na kuongeza deni la Taifa,ukweli ni kwamba hailipi na zaidi ni mzigo tu kwa hizi serikali zetu.

Hii miradi ingeachiwa private sector au serikali ingekuwa na hisa kidogo lakini sio kumiliki hii miradi kwa asilimia 100.

Niwaambie tu,SGR na ATCL ni mizigo tutakayoibeba kwa kodi zetu.

Tumekuwa mateka wa fahari ya macho na kupuuza uhalisia-mtu mmoja kwa kutumia cheo na madaraka yake kawafanya watu mazuzu wasione mbele.

Watu wanashangilia na kusifu wakati mikataba inafanywa siri na wala hawajiulizi!!
leta ushauri tutumie mbinu gani. China ni gvt ba USA private under control of govt.
 
Benki ya Exim ya China huenda ikaichukua Bandari ya Mombasa, endapo #Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR). Kenya ilikopa TZS trilioni 7.2 kwa ajili ya reli hiyo mwaka 2013.
==========​
Chinese may take over Mombasa port: Ouko

The Daily Nation
SUMMARY
  • The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that it could become a white elephant.
  • A report by Auditor-General Edward Ouko states that the payment agreement substantively means that the revenue of the Kenya Ports Authority would be used to clear the debt.
  • The auditor notes that the agreement is biased since any non-performance or dispute with the bank would be referred to arbitration in China, “whose fairness is resolving the disagreement may not be guaranteed”.
  • Ouko accuses the KPA management of not disclosing the guarantee documents in its financial statements.
Kenya could lose the port of Mombasa to the Chinese government if Kenya Railways Corporation (KRC) defaults in the payment of Sh227 billion owed to Exim Bank of China.

The government borrowed the billions to construct the Mombasa-Nairobi standard gauge railway (SGR), against opposition that the project by China Roads and Bridges Corporation (CRBC), a Chinese State-owned company, could become a white elephant. The country's sovereignty is now at stake.

View attachment 972261
View attachment 972260
Ukiona mwenzio ananyolewa, wewe chukua/lete maji, walisema wahenga.
 
Debt Trap Diplomacy China style. Kwenye swala la pesa hawa wachina hawana rafiki, hata sisi tukicheza tutanyolewa kwa wembe huo huo wanaotumia kuwanyolea wakenya na wazambia. Tutalia.
 
China ni rafiki wa kweli wa raslimali zetu. Waliomba walichukue ziwa Victoria ili Africa mashariki isamehewe madeni yake. Wao watajilipia ziwani.Kama walivyojilipa Kwa kuiba madini na mali zilizofichwa na wajerumani plus meno ya tembo selous na mikumi wakati wa Ujenzi wa reli ya Tazara Kwa mgongo wa kuijenga railway bure kama msaada.
 
Back
Top Bottom