Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)

Benki ya Exim ya China kuichukua bandari ya Mombasa endapo Kenya itashindwa kurejesha mkopo iliochukua ili kujenga reli ya kisasa (SGR)

Daaa mtakuwa mmeuzwa tayari
Kwa kweli, yaani unauzwa then unabadilishwa majina na kuchukua Koo za kichina za akina Wangho, Pyaoh na kuacha Koo zetu za akina Masamaki, Mafuru, Bwanaku, Masato N.k
 
Waswahili wasichoelewa haswahaswa watanzania haswa wale mlengo wa kuume, Europeans walikuwa wakoloni wetu so tumechangia ustawi wa nchi zao kwa asilimia kubwa and funny enough wanakumbuka mpaka Leo.

It will be next to impossible kwa wazungu kutudhulumu while on the other hand wachina hawajawahi kucolonise Africa and they are dreaming it is their turn! Viongozi wa kiafrica hawajui hili
Bahati mbaya sana serikali haina critical thinkers kama wewe!
 
Lastly tutageuka koloni la China, very bad. Mungu atuepushe,niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni ya kichina, najua tabu zao hao jamaa. Sipati picha ikiwa koloni lao tutakavyo pelekeshwa.
Aisee so sad.[emoji26] [emoji26]
 
Mwenyewe anawasifiaaa wachina eti wao hawana masharti kama wazunguu.na huyuhuyu jiwe anesema kila siku kua hakuna kitu cha bureeeee.
 
Niwaambie tu,SGR na ATCL ni mizigo tutakayoibeba kwa kodi zetu.
ATCL hakuna mkopo pale zote zimenunuliwa kwa pesa taslimu na ile SGR Dar-Dodoma pesa ya ndani kama utakumbuka Mh Rais alisemaga kuwa alijaribu kutafuta mkopo lakini mashariti aliyo kapewa yalimshinda akabidi aje ajitutumue yeye na wananchi wake na ndiyo hile inajenga sasa
 
Wakati huo yeye atàkuwa analindwa na kufaidi kodi za wadanganyika
Kwa kweli, yaani unauzwa then unabadilishwa majina na kuchukua Koo za kichina za akina Wangho, Pyaoh na kuacha Koo zetu za akina Masamaki, Mafuru, Bwanaku, Masato N.k
 
Lkn bado kuna vijakazi wa lumumba wanachekelea na kukenua meno utadhani mazuzu
Hao jamaa hawafai,yaani tutaendeshwa hadi tutamani kwenda kaanani manake vichapo vya Pharaoh vitakuwa sio vya nchi hii
 
Ukweli ni kwamba tunawaona wema Kwa kuwa huwa hawawasumbui ma dikteta wetu kwenye siasa zao uchwara
 
Hata sisi hii mikopo itatuumbua tu

Hii miradi mbali na kuongeza deni la Taifa,ukweli ni kwamba hailipi na zaidi ni mzigo tu kwa hizi serikali zetu.

Hii miradi ingeachiwa private sector au serikali ingekuwa na hisa kidogo lakini sio kumiliki hii miradi kwa asilimia 100.

Niwaambie tu,SGR na ATCL ni mizigo tutakayoibeba kwa kodi zetu.

Tumekuwa mateka wa fahari ya macho na kupuuza uhalisia-mtu mmoja kwa kutumia cheo na madaraka yake kawafanya watu mazuzu wasione mbele.

Watu wanashangilia na kusifu wakati mikataba inafanywa siri na wala hawajiulizi!!
Si ninasikia eti sisi tunajenga miundo mbinu kwa kutumia pesa za ndani; na mkuu anaimbiwa mapambio ya sifa sababu hiyo!?!?
 
Ina maana hyo SRG hailipi mkopo?
Ili SGR hiyo ilipe ilitakiwa ifike Malaba>Uganda>Rwanda kuwa na mizigo na abiria wengi kupata mapato mengi. China haijatoa mkopo kwa awamu ya Edorlet hadi Malaba mpakani na Uganda. Uganda inasita kutafuta mkopo wa kujenga kutoka Malaba hadi mpakani Rwanda bila kuwa na uhakika kuwa Kenya itajenga sehemu yake hadi Malaba. Rwanda nayo inajenga Kigali hadi Isaka kwa hiyo Uganda haitanufaika. Kifupi Kenya amepigwa chenga na Uganda pamoja na Rwanda kama ilivyokuwa kwa mradi wa bomba la mafuta. Kwa hali hii Kenya amebanwa na mapato ya bandari yanaweza kuchukuliwa na China hadi hapo deni litakapo lipwa lote.
 
kwani tanzania huwa inalipa madeni ya china?


ata huu mkopo waliochukua russia sidhani kama watalipa maana
 
Back
Top Bottom