Sio umasikini tu, wengine huko ziwa Victoria ndiyo yalipo makazi yetu kwenye hivyo visiwa vya ukerewe,nansio N.k
Kwa kweli, yaani unauzwa then unabadilishwa majina na kuchukua Koo za kichina za akina Wangho, Pyaoh na kuacha Koo zetu za akina Masamaki, Mafuru, Bwanaku, Masato N.kDaaa mtakuwa mmeuzwa tayari
Ili tuishi kama mashetani.Sasa wakitunyang'anya ziwa letu victoria si ndiyo wavuvi wetu watakuwa wametiwa umasikini?
Bahati mbaya sana serikali haina critical thinkers kama wewe!Waswahili wasichoelewa haswahaswa watanzania haswa wale mlengo wa kuume, Europeans walikuwa wakoloni wetu so tumechangia ustawi wa nchi zao kwa asilimia kubwa and funny enough wanakumbuka mpaka Leo.
It will be next to impossible kwa wazungu kutudhulumu while on the other hand wachina hawajawahi kucolonise Africa and they are dreaming it is their turn! Viongozi wa kiafrica hawajui hili
Aisee so sad.[emoji26] [emoji26]Lastly tutageuka koloni la China, very bad. Mungu atuepushe,niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni ya kichina, najua tabu zao hao jamaa. Sipati picha ikiwa koloni lao tutakavyo pelekeshwa.
Pombe ******** ni janga kwa Taifa letu.Mwenyewe anawasifiaaa wachina eti wao hawana masharti kama wazunguu.na huyuhuyu jiwe anesema kila siku kua hakuna kitu cha bureeeee.
Hao jamaa hawafai,yaani tutaendeshwa hadi tutamani kwenda kaanani manake vichapo vya Pharaoh vitakuwa sio vya nchi hiiAisee so sad.[emoji26] [emoji26]
ATCL hakuna mkopo pale zote zimenunuliwa kwa pesa taslimu na ile SGR Dar-Dodoma pesa ya ndani kama utakumbuka Mh Rais alisemaga kuwa alijaribu kutafuta mkopo lakini mashariti aliyo kapewa yalimshinda akabidi aje ajitutumue yeye na wananchi wake na ndiyo hile inajenga sasaNiwaambie tu,SGR na ATCL ni mizigo tutakayoibeba kwa kodi zetu.
Kwa kweli, yaani unauzwa then unabadilishwa majina na kuchukua Koo za kichina za akina Wangho, Pyaoh na kuacha Koo zetu za akina Masamaki, Mafuru, Bwanaku, Masato N.k
Hao jamaa hawafai,yaani tutaendeshwa hadi tutamani kwenda kaanani manake vichapo vya Pharaoh vitakuwa sio vya nchi hii
Aisee so sad.[emoji26] [emoji26]
Mkopo tena, kwani sio kwa hela za ndani??Ina maana hyo SRG hailipi mkopo?
Si ninasikia eti sisi tunajenga miundo mbinu kwa kutumia pesa za ndani; na mkuu anaimbiwa mapambio ya sifa sababu hiyo!?!?Hata sisi hii mikopo itatuumbua tu
Hii miradi mbali na kuongeza deni la Taifa,ukweli ni kwamba hailipi na zaidi ni mzigo tu kwa hizi serikali zetu.
Hii miradi ingeachiwa private sector au serikali ingekuwa na hisa kidogo lakini sio kumiliki hii miradi kwa asilimia 100.
Niwaambie tu,SGR na ATCL ni mizigo tutakayoibeba kwa kodi zetu.
Tumekuwa mateka wa fahari ya macho na kupuuza uhalisia-mtu mmoja kwa kutumia cheo na madaraka yake kawafanya watu mazuzu wasione mbele.
Watu wanashangilia na kusifu wakati mikataba inafanywa siri na wala hawajiulizi!!
wanapoteza ushawishi africaWatajuta wachina au wabongo?
Vision ya China ni pana sana. Ukipata dk6, tafadhali angalia hii video:Kwani dhamana ya huo mkopo ilikuwa ni hiyo bandari ya Mombasa???
Ili SGR hiyo ilipe ilitakiwa ifike Malaba>Uganda>Rwanda kuwa na mizigo na abiria wengi kupata mapato mengi. China haijatoa mkopo kwa awamu ya Edorlet hadi Malaba mpakani na Uganda. Uganda inasita kutafuta mkopo wa kujenga kutoka Malaba hadi mpakani Rwanda bila kuwa na uhakika kuwa Kenya itajenga sehemu yake hadi Malaba. Rwanda nayo inajenga Kigali hadi Isaka kwa hiyo Uganda haitanufaika. Kifupi Kenya amepigwa chenga na Uganda pamoja na Rwanda kama ilivyokuwa kwa mradi wa bomba la mafuta. Kwa hali hii Kenya amebanwa na mapato ya bandari yanaweza kuchukuliwa na China hadi hapo deni litakapo lipwa lote.Ina maana hyo SRG hailipi mkopo?