KERO Benki ya NMB Mihayo Tabora boresheni huduma zenu

KERO Benki ya NMB Mihayo Tabora boresheni huduma zenu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu.

Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja.

Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma.

Mfano mtu nataka kujua salio anaweza kutumia lisaa limoja mpaka mawili anasubiri wahudumu, Lakini wahudumu hakuna yupo mmoja tu ambaye hawezi kuhudumia kwa wakati.

NMB Bank ya Tabora ongezeni wafanyakazi ili watu wakifika ofisini kwenu waweze kupata huduma kwa wakati na wao wakafanue shughuli zingine.
 
Back
Top Bottom