Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
facts!6% TU kwa mwezi? What a deal!
Ina maana ni equivalent ya 72% kwa mwaka. Hii si kusaidia wafanyakazi bali ni kuwaongezea umasikini. Kwa akili zako timamu utawezaje ku survive na 60% ya net salary yako after all the deductions? Nilitegemea wangesema hiyo pay slip loan italipwa ndani ya miezi mitatu tungeweza kuwafahamu. Lakini those types of loans zinatakiwa ziwe discouraged rather than encouraged na financial institutions zetu kwa sababu hazitowi picha nzuri na ni ishara ya kudidimia kwa uchumi. Kama uchumi unakuwa basi tungeona banks wanashindana katika kuja na njia mpya ya kuwa encourage watu wafanye savings na sio kukopa.
The way I see it, we are moving dowhill at supersonic speed and soon no one will not even see the numbers let alone read them!
hakika!Hizi ndio zile Mh Zitto anaziita poverty trap! Yaani mitego ya umasikini.
Ndio mjue serikalini mishahara ni ya kimasikini.Hizi ndio zile Mh Zitto anaziita poverty trap! Yaani mitego ya umasikini.
JIiulezeni kwanini wasomi wanaacha kazi serikalini na kukimbilia kwenye siasa.facts!
Uchambuzi mzuri sana Dada!6% TU kwa mwezi? What a deal!
Ina maana ni equivalent ya 72% kwa mwaka. Hii si kusaidia wafanyakazi bali ni kuwaongezea umasikini. Kwa akili zako timamu utawezaje ku survive na 60% ya net salary yako after all the deductions? Nilitegemea wangesema hiyo pay slip loan italipwa ndani ya miezi mitatu tungeweza kuwafahamu. Lakini those types of loans zinatakiwa ziwe discouraged rather than encouraged na financial institutions zetu kwa sababu hazitowi picha nzuri na ni ishara ya kudidimia kwa uchumi. Kama uchumi unakuwa basi tungeona banks wanashindana katika kuja na njia mpya ya kuwa encourage watu wafanye savings na sio kukopa.
The way I see it, we are moving dowhill at supersonic speed and soon no one will not even see the numbers let alone read them!
hahaha kweli kabisaJIiulezeni kwanini wasomi wanaacha kazi serikalini na kukimbilia kwenye siasa.
Siasa sio serikalin?JIiulezeni kwanini wasomi wanaacha kazi serikalini na kukimbilia kwenye siasa.
Ajira ya "sirikali" ni "poverty security" na si "job security" kama wengi wanavyoamini.Maisha ya watumishi ni ya kukopa kopa tu kuanzia anapoajiriwa mpaka anastaafu
Kamshahara kadogo makato makubwa.
Kumuongezea umasikiniAdvance salary ni kumdanganya mfanyakazi; ukali wa maisha ni uleule.
Nani anakudanya mbona iko wazi bank wanataka kukulamba 6% ya mshahara wako ni 950,000 watakulamba kama 57,500 hivi So Mwisho wa mwezi utakua una deduction ya 6% katika salary njia nzuri ya kutatua matatizo yako ni kua na utamaduni wa Ku save mwenyewe na siyo kukopa
Mkuu, kuna watumushi wanahamishwa vituo katikati ya mwezi . Hawa hulazimika kukopa nauli yakwenda kituo kipya. Hii itapunguza makali ya riba.Nani anakudanya mbona iko wazi bank wanataka kukulamba 6% ya mshahara wako ni 950,000 watakulamba kama 57,500 hivi So Mwisho wa mwezi utakua una deduction ya 6% katika salary njia nzuri ya kutatua matatizo yako ni kua na utamaduni wa Ku save mwenyewe na siyo kukopa
Hicho Ndo Kitu ambacho sikitaki inamaana Unashindwa hata Kudunduliza Ukawa na Kahakiba kako ka 2.5Million au hata 2Million tuu? Tujirekebishe Watumishi.Mkuu, kuna watumushi wanahamishwa vituo katikati ya mwezi . Hawa hulazimika kukopa nauli yakwenda kituo kipya. Hii itapunguza makali ya riba.
Siyo mpya kule Mwalimu commercial bank walishakuwa nayo hiyo product muda tu.Kwanza kabisa napenda kuwapongeza sana NMB kwa kuleta huduma hii ambapo mfanyakazi anakuwa na uwezo wa kukopa mpaka asilimia 40 ya mshahara wake(take home bila shaka)
Huduma hii ya mkopo ambayo mfanyakazi atalipa mkopo huo kwa kukatwa mshahara wake mara utakapoingia Benki, utawasadia sana wafanyakazi wanaopata dharura na kulazimika kukopa mitaani kwa riba kubwa.
NMB wao wanasema hawatozi riba bali unatozwa asilimia 6 tu ya kiwango cha mkopo unaochukua kama gharama ya ku-process mkopo husika.
UKweli ni kwamba hata kama hiyo 6% ingekuwa ndio riba bado ni ndogo sana ukilinganisha na riba wanazotozwa wafanyakazi huku mitaani ambapo mtu akikopa kwa mfano shilingi 100,000 anatakiwa kurudisha shilingi 120,000 na wengine mpaka 130,000 mwisho wa mwezi akipata mshahara.
Huduma hii itaokoa wafanyakazi wengi ambao wengi huishi kwa kukopa kwani mishahara ni midogo na matatizo ni mengi huku siku 30 za kusubiri mshahara utoke zikiwa ni nyingi mno.
Huduma hii ambayo imeanza kutolewa kuanzia tarehe 13/03/2018 kwa mujibu wa kipeperushi chao, inapatikana kwa kupiga *150*66# then unachagua "mkopo" ambayo ni option number 5.
Mkopo unaingizwa kwenye akaunti yako ya mshahara wa NMB moja kwa moja.
Kwa maelezo zaidi ikiwa ni pamoja na kujua mashariti na vigezo ingia:
www.nmbbank.co.tz.
Huduma hii nasikia hata CRDB nao wanayo.
Ushauri:
Kama NMb wameweza ni wazi hata serikali nayo inaweza kuangalia kuanza utaratibu wa kulipa watumishi nusu mshahara kila ifikapo nusu ya mwezi ili kupunguzia watumishI wake ugumu wa maisha maana sasa hivi hata ukijiongeza ukafanya biashara ili uongezi kipato biashara nazo zimekuwa ni ngumu hivyo unajiongeza lakini bado inakuwa haisadi sana.
Vile vile nawashauri NMB malezo kuhusu mashariti na vigezo vya kupata mkopo yatolewe kwa lugha ya kiswahilI pia ili watu waweze kuelewa vizuri na kwa urahisi zaidi terms za mkopo huu kwani kujua mashariti na vigezo kabla ya kuchukua mkopo ni jambo la muhimu sana.