Benki ya NMB yaja na huduma ya mkopo ya "NMB Salary Advance" kwa wafanyakazi

Benki ya NMB yaja na huduma ya mkopo ya "NMB Salary Advance" kwa wafanyakazi

Nimegunduwa kuwa akili zako unazikalia. Lujiendesha kwa taasisi ya fedha lazima itumie njia zenye ethic sio kuchukuwa advantage? Mbona hao wanowakopesha Milioni 100 hawawachaji 6%x idadi ya miezi wanayorudisha hela? Kwa nini umchaji mteja wako 6% wakati ungeweza kumpatia overdraft ya interest free kwa wiki 2 au mwezi mmoja! Inaonesha hujawahi kuvuka mpaka wa bara la Afrika wewe!
Kuvuka kwako nje ya Afrika,haiwezi kuwa sababu ya wewe kuwa unajua zaidi.Mazingira yetu hapa ni tofauti sana.
Benki hiyo hiyo,inayotoa mkopo wa milioni 7 na unakatwa jumla ya milioni 12,Hujailalamikia namna hii japo ilianza zamani!Zipo taasisi kama bayport unachukua 1.5M unakatwa jumla 4.5M!..hujawahi kuwalalamikia,Leo unakuja kulia na 6% ya salary advance kweli?Mbona unaonekana kama mchawi una wawangia watumishi wasipewe hiyo?
Mtaani kuna wafanyabiashara wanakopesha kwa riba ya 30% na bado watumishi wanachukua na wakati mwingine wanashindwa kuzilipa na wanalipa ile riba ili aendelee kujikopesha na kulipa riba mbili hadi 3!Ni ajabu sana wewe uliyetoka eti nje ya Afrika unakuja kuzungumzia vitu vya ndotoni visivyotekelezeka na unaamini kuwa ni halisi!!!
 
One months interest free overdraft ndio haitekelezeki? Wewe kaa tu Ugogoni uhangaike kutafuta maji ya kutawaza lemutuz!
 
Huduma nasiki inazingua nimekuta watumishi wanalalamik Kuwa hamna kitu wanajaribu na kujaribu
 
haizingui hata kidogo! Ukishaomba angalia salio usisubiri msg. Nilikua natest nikajikuta napata deni bila kutegemea
 
Nani anakudanya mbona iko wazi bank wanataka kukulamba 6% ya mshahara wako ni 950,000 watakulamba kama 57,500 hivi So Mwisho wa mwezi utakua una deduction ya 6% katika salary njia nzuri ya kutatua matatizo yako ni kua na utamaduni wa Ku save mwenyewe na siyo kukopa
Kwan unalazimishwa kukopa au ndo shida zetu zinatufanya Tuende
 
Mshahara anaolipwa mtumishi package yake huwa haihusishi kusaidia wazazi,ndugu,michango ya harusi ,zawadi,nyumba ndogo nk.
Tutathmini matumizi yetu ,sina maana kuwa mengi ni ya anasa hapana tunazidiwa sana maana mengi huwa sio ya kwetu kama watumishi,matumizi mengi hutokana na mtu mmoja tu kiwa na ajira ya uhakika katika familia kubwa.Tuondokane na kuwategemea ndugu zetu walioajiriwa ili wasiiichukie serikali yao.
 
Back
Top Bottom