Benki ya NMB yaja na huduma ya mkopo ya "NMB Salary Advance" kwa wafanyakazi

Hizi ndio zile Mh Zitto anaziita poverty trap! Yaani mitego ya umasikini.
 
facts!
 
Uchambuzi mzuri sana Dada!
 
Kaujiriwa ni Umasikini mkubwa sana na kamwe huwezi kuwa na uhulu wa kifedha.

Hiyo mikopo haiwezi masaidia chochote mfanya kazi kujikwamua hakuna kitu hapo.

wanaoshangilia ni wale watumwa
 
Wacha nikakope kabla sijatumbuliwa na wakubwa
 

Good Point...!!
 
Serikali Ya Viwanda
Serikali Ya Wanyonge 😳🙄
 
Mkuu, kuna watumushi wanahamishwa vituo katikati ya mwezi . Hawa hulazimika kukopa nauli yakwenda kituo kipya. Hii itapunguza makali ya riba.
 
Kukopa kwa ajili ya matumizi ya kawaida ni kupeleka matatizo mbele sio suluhisho. Jambo la msingi ni kujifunza matumizi yanayoendana na kipato. Huwezi kua unalipwa 400,000 kwa mwezi alafu unatoa mchango wa harusi 100,000. Pia hakikisha unaweka akiba hata kama ni 10% ya kipato chako kwa mwezi, siku ukipata dharula inayohitaji pesa nyingi hutakua na haja ya kukopa. Learn to manage your money!
 
Siyo mpya kule Mwalimu commercial bank walishakuwa nayo hiyo product muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…