Benki ya Wanawake (TWB) ilifia wapi?

Benki ya Wanawake (TWB) ilifia wapi?

Benki ya wanawake na Twiga Bancorp ziliunganishwa na Benki ya Posta na baadaye kwa pamoja ikaanzishwa Benki ya biashara Tanzania(TCB).
Bank ya Posta mboni inajitegemea yenyewe hapo mboni unatumix mkuu
 
Bank ya Posta mboni inajitegemea yenyewe hapo mboni unatumix mkuu
Tanzania Commercial Bank (TCB) imetokana na muunganiko wa mabenki yafuatayo:
1 Tanzania Postal Bank (TPB)
2. Tanzania Investment Bank -Corporate (TIB)
3. Tanzania Women Bank (TWB) na
4. Twiga Bankcorp
 
Tanzania Commercial Bank (TCB) imetokana na muunganiko wa mabenki yafuatayo:
1 Tanzania Postal Bank (TPB)
2. Tanzania Investment Bank -Corporate (TIB)
3. Tanzania Women Bank (TWB) na
4. Twiga Bankcorp
Sawa sawa usifute
 
Back
Top Bottom