Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Bank ya Posta mboni inajitegemea yenyewe hapo mboni unatumix mkuuBenki ya wanawake na Twiga Bancorp ziliunganishwa na Benki ya Posta na baadaye kwa pamoja ikaanzishwa Benki ya biashara Tanzania(TCB).
Tanzania Commercial Bank (TCB) imetokana na muunganiko wa mabenki yafuatayo:Bank ya Posta mboni inajitegemea yenyewe hapo mboni unatumix mkuu
Sawa sawa usifuteTanzania Commercial Bank (TCB) imetokana na muunganiko wa mabenki yafuatayo:
1 Tanzania Postal Bank (TPB)
2. Tanzania Investment Bank -Corporate (TIB)
3. Tanzania Women Bank (TWB) na
4. Twiga Bankcorp
Nafikiri umepata jibu mujarabu kabisa, Tembea yaliyopokuwa matawi ya benki ya Posta uone kama utakuta nembo ya TPB.Bank ya Posta mboni inajitegemea yenyewe hapo mboni unatumix mkuu
Yapo na kadi zipoNafikiri umepata jibu mujarabu kabisa, Tembea yaliyopokuwa matawi ya benki ya Posta uone kama utakuta nembo ya TPB.
Siyo kweli,kuanzia pale ilipokuwa makao makuu posta ya zamani, kariakoo kabla jengo halijavunjwa,ilala sokoni matawi ambayo nipo nayo karibu kote ni TCB.Yapo na kadi zipo