Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

Kama nataka kuamini hivi maana laini yangu ya Voda nashangaa natumiwa SMS unaweza kukopa hadi shilling laki tano
Note;ni laini ya uwakala kuna kitu kinaitwa wezesha
 
Kama nataka kuamini hivi maana laini yangu ya Voda nashangaa natumiwa SMS unaweza kukopa hadi shilling laki tano
Note;ni laini ya uwakala kuna kitu kinaitwa wezesha
Pesa imerejea mkuu
 
Ukiingia bank hakuna watu lakini wanapata faida sasa siju wanapataje?
 
Propaganda zimekua nyingi sana.mabenki yamepunguza kugawa mikopo mtaani mfano kwa wakulima huku wakisema kilimo hakibenkiki.

Nyie mnasema mikopo kwa watu imeongezeka.

Siujui uchumi ila kwa akili ya kawaida tu,hizo faida unazozisema za mabenki ni matokeo ya makato/kodi za makumpuni makubwa km migodi na mengine ila sio kutoka kwa mtanzania mmojammoja wa kawaida.hivyo wanaofaidika ni hao wenye makampuni na sio walalahoi.
 
Niwao wamesema wala sio serikaLi
 
Mama ni Supersub yaani ni mwendo wa positive results tuu.
 
Hongera sana mwandishi,
Umetuzibua nacho na masikio,
Hakika Rais Samia ni levels zingine,
 
Kama hiyo record ni ya Jan - Sept inabidi pia apongezwe Magufuli.
Mikopo mikubwa ina process refu na kama kuna makampuni makubwa ya madini yalikopa kama mchangiaji mmoja alivyogusia hapo juu. Process zao za kukopa zilianza muda mrefu!
 
Ndio apongezwe kwa mwezi mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…