Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote.

Naomba sasa Naibu Waziri Mkuu Tusaidie kuwaomba Hawa mameneja WAJENGE VYOO VYA WATEJA wa mabenki lakini pia waache tabia ya kufunga kamba kwenye kalamu pale counter: Haiwezekani napeleka milioni 20 na ninakuachia kwa kunipa kikaratasi tu ila wewe huniamini kwa kalamu ya shilingi mia tu.

Bank of Tanzania , ambaye ndiye msimamizi mkuu wa mabenki tunaomba kabla ya leseni za mabenki kutolewa, ukaguzi ufanyike na kitu cha kwanza iwe Choo cha wateja.
Good observation na naunga mkono hoja.

Pia Nemc wako wapi?
 
Tatizo sio vyoo tatizo ni aina ya vyoo unakuta tale mavyoo ya kukaa kila mtu aweke matako yake hapo duh..![emoji848] mimi huwa napandaga juu nachuchumaa hapo juu ndo nakunya

Tatizo kingine ni kutawaza kwa mikono na maji wengine hatujazoea kabisa kushika mavi yaani ni heri nichambie matambara, majani ya miti, au kigogo au kwenye kona ya ukuta wa nyumba
Kwani lazima vya kukaa?
 
Umeangalia hotuba ya Samia leo Nchini kwake Zanzibar akiapisha wateuliwa?
Angalia kwenye you-tube pale alipomzungumzia Mchen

Mameneja wa Benki wanapitia huu uzi, wataweka vyoo vya kukaaa na kuchuchuma, vya kutumia tissues na vya free styles.
Mimi huwa naenjoy sana kunya kwenye choo cha shimo tofauti na hapo bora nikajisaidie porini!
Ndio maana hata hapa ninapoishi siendagi chooni nakunyaga kwenye mifuko au kwenye kisado nasubiri usiku naenda kumwaga jalalani
 
Bank zote zimepanga kwny majengo ambayo tayr yana vyoo ukibanwa mavi au mkojo achia mtu nafasi kwny folen toka eneo la bank uliza mlinzi utaoneshwa choo...

Binafsi nikiwa town silipii choo mighorofa yote iliyojaa mjin ina vyoo kila floor....
Mimi huwa naingia kwenye bar
 
Yaani Tz bnana kwa kujifanya ni ya kipekee duniani kumbe ni ya kijinga tu,hiyo security reason ni Tz tu?mbona sehemu nyingine vipo?acheni sababu za kijinga
Kuna bank ya posta pamba road mwanza kuna askari waoga pale sijawahi ona,ukisimama tu kwenye ngazi za hapo bank jamaa anakufata fasta,hata ukimwambia kuna mtu unamsubir anakuambia ukamsubir mbali na hapo bank
 
Mimi huwa naenjoy sana kunya kwenye choo cha shimo tofauti na hapo bora nikajisaidie porini!
Ndio maana hata hapa ninapoishi siendagi chooni nakunyaga kwenye mifuko au kwenye kisado nasubiri usiku naenda kumwaga jalalani
Unaonaje kama unapoishi ukawashauri watengeneze vyoo upendavyo?
Unasubiri mpaka US AID waje kukujengeeni?
 
Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote.

Naomba sasa Naibu Waziri Mkuu Tusaidie kuwaomba Hawa mameneja WAJENGE VYOO VYA WATEJA wa mabenki lakini pia waache tabia ya kufunga kamba kwenye kalamu pale counter: Haiwezekani napeleka milioni 20 na ninakuachia kwa kunipa kikaratasi tu ila wewe huniamini kwa kalamu ya shilingi mia tu.

Bank of Tanzania , ambaye ndiye msimamizi mkuu wa mabenki tunaomba kabla ya leseni za mabenki kutolewa, ukaguzi ufanyike na kitu cha kwanza iwe Choo cha wateja.
Bwana yule angekuambia "Kwani unaenda benki kwenda kunya? Kama vipi yaache mavi yako nyumbani"

Bwana yule alikuwa fedhuli sana...
 
Kwani bongo ni kisiwa?

Yaani Duniani kote majiji yote kuwepo na huduma za vyoo kwenye banks isipokuwa bongo Eti sababu ya usalama na blah blah za ajabu?!

Halafu wenye akili finyu wanaona ni sawa ?!
 
Kwani bongo ni kisiwa?

Yaani Duniani kote majiji yote kuwepo na huduma za vyoo kwenye banks isipokuwa bongo Eti sababu ya usalama na blah blah za ajabu?!

Halafu wenye akili finyu wanaona ni sawa ?!
Poor Tanzania!
Bora umeona hilo, i wonder Wateja wa Mabenk kwenye uzi wamezoea kudhulumiwa haki yao basi wanaona ni sawa, ni kama kumwekea mtu dhamana polisi ni bure ila wamezoeshwa KITU KIDOGO imekuwa kama sheria .
 
Back
Top Bottom