Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,000
- 2,141
Watu waliposhawishiwa kwenye forex serikali iliingilia kati kuzuia watu kutuma dola nje kwa ajili ya hiyo biashara.Hata kama Benki zinawafuata mwisho wa siku hazi walazimishi... Kukopa..
Elimu ya masuala ya fedha ni muhimu sana kuokoa vijana maana benki zinajipigia hela nje nje.Mtu umemaliza degree hujui hata hesabu za riba tulizojifunza shule ya msingi bora uwe mtumwa tu? Saa nyingine watu wakishaajiriwa ni kama kuna ujinga unawaingia automatic. Unachukua mkopo bila kupiga hesabu za riba si upuuzi huo? Mbaya zaidi wengi wanachukua mikopo kwa mambo yasiyozalisha pesa.. wafanyakazi wapya huchukua mikopo ya kununulia magari kwa kisingizio "itarahisisha mizunguko"... pumbav sana. Nazipongeza benki kwa kazi nzuri.
Mkuu hesabu za riba zinafundishwa shule ya msingi na sekondari. Kama mtu anashindwa hesabu rahisi hivyo naona aendelee tu kuwa mtumwa wa mabenki. Na ninachopenda maafisa mikopo huwa wanawaambia riba ni 4% kwa mwezi kumbe ni 4% ya mkopo wote na sio lile rejesho la mwezi. Ukipiga hesabu kwa miezi 6 unajikuta riba ni 24%. Ila hii 24% hawaitaji kabisa.Elimu ya masuala ya fedha ni muhimu sana kuokoa vijana maana benki zinajipigia hela nje nje.