Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Mkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitaperi kwa wananchi. Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
Mkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.
Aiseee huu uongo, how? Hata Kama huna akili haiwezi kuingia akilini hii
UongoDunia ina mengi mkuu, wapo wanaoliwa kijinga hivyo. Nimeshuhudia hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitaperi kwa wananchi. Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
Elezea uongo uko wapi, hii Dunia Ina mambo mengi hebu pinga kwa facts...Uongo
Ukikubali hii chai na wewe utakuwa mwendawazimu, huo mkopo umelipwa kwa miaka mingapi?Elezea uongo uko wapi, hii Dunia Ina mambo mengi hebu pinga kwa facts...
Hilo jamaa ni Poyoyo kabisa aiseeMkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitaperi kwa wananchi. Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
ni kweli hapa hoja ya msingi ni kuwa je mambo haya yapo? mi nishashuhudia mstaafu amekopeshwa mpaka anapata hela yake akawa hoiElezea uongo uko wapi, hii Dunia Ina mambo mengi hebu pinga kwa facts...
Kwani alikopa lini labda mwaka 2000...Ukikubali hii chai na wewe utakuwa mwendawazimu, huo mkopo umelipwa kwa miaka mingapi?
Jaribu kuipa akili yako uwezo wa kufikiriKwani alikopa lini labda mwaka 2000...
Sijakubali hii Chai ila natambua Dunia hii mbinu za utapeli ni mob
FAKE FAKE FAKE FAKE FAKE FAKE...
Hakuna mkpo wa riba 2500%
Sema mnatumia matako badala ya akili..
Niliwahi kufanya utafiti wa hiyo mikopo nikagundua kwa uchache haya hapa..
1. Riba ni 30% monthly basis
2. Ukikopa 10000 utalipa 13000 na ikiwa umerudisha only interest yaan 3000 basi next month inakukalia tena 13000 kwa maana interest iko kwa monthly basis..
3. Wakopaji wengi badala ya kulipa madeni huwa wanaongeza mikopo hiyo hivyo kupelekea pesa kukua sikj hadi siku..
4. Hiyo mikopo inasaidia hasa walimu na polisi ambao mishahara yao iko hoi kwelikweli.. wanachofeli ni kwamba access ya hiyo mikopo ni rahisi maana unaacha only ATM card yako ya mshahara as a collateral.. hivyo woa huchukua tu pesa kwa kuona hawana kazi kubwa ya kuonyesha labda hati kama zifanyazo bank na mashirika ya ukopeshaji pesa..
5. HATA WANAOKOPESHA WANAKUWA KATIKA RISK YA KUTOLIPWA PESA ZAO KWA MAANA WAKOPAJI PIA WANAENDA BANK KUTANGAZA KUWA KADI ZAO ZIMEPOTEA HIVYO KUFUNGIWA NA KUPEWA MPYA..
MWISHO KABLA HAMJAWEKA KITU HAPA TAFUTENI DATA SAHIHI ILI WASIOJUA ABCD YA KITU WAWEZE FAHAMU JAPO KWA UCHACHE..
na mkuu wa mkoa nae ni mwendawazimu?Ukikubali hii chai na wewe utakuwa mwendawazimu, huo mkopo umelipwa kwa miaka mingapi?
Leteni source ya hii habari kwanza, kabla sijaenda mbali Kuna mda lazma utumie akili kujenga hoja kuliko kuongea ilimradi umeongea,na mkuu wa mkoa nae ni mwendawazimu?