Benki zimelala watu wanapiga pesa

Benki zimelala watu wanapiga pesa

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Posts
7,413
Reaction score
4,020
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitapeli kwa wananchi.

Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
 
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitaperi kwa wananchi. Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
Mkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.
Aiseee huu uongo, how? Hata Kama huna akili haiwezi kuingia akilini hii
 
lakini si unajua mikopo ya watu hao ya kadi na password, wenye mitaji ni haohao ule ni utakatishaji pesa wameenea sana siku hizi
 
Khe!!!!!alikubalije sharti gumu kama hilo?
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitaperi kwa wananchi. Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
 
Sasa atm card ikichukuliwa si unahamisha tu pesa kwa mobile money au unawahi benki na kutoa kwa teller??!!
 
FAKE FAKE FAKE FAKE FAKE FAKE...
Hakuna mkpo wa riba 2500%
Sema mnatumia matako badala ya akili..
Niliwahi kufanya utafiti wa hiyo mikopo nikagundua kwa uchache haya hapa..
1. Riba ni 30% monthly basis
2. Ukikopa 10000 utalipa 13000 na ikiwa umerudisha only interest yaan 3000 basi next month inakukalia tena 13000 kwa maana interest iko kwa monthly basis..
3. Wakopaji wengi badala ya kulipa madeni huwa wanaongeza mikopo hiyo hivyo kupelekea pesa kukua sikj hadi siku..
4. Hiyo mikopo inasaidia hasa walimu na polisi ambao mishahara yao iko hoi kwelikweli.. wanachofeli ni kwamba access ya hiyo mikopo ni rahisi maana unaacha only ATM card yako ya mshahara as a collateral.. hivyo woa huchukua tu pesa kwa kuona hawana kazi kubwa ya kuonyesha labda hati kama zifanyazo bank na mashirika ya ukopeshaji pesa..
5. HATA WANAOKOPESHA WANAKUWA KATIKA RISK YA KUTOLIPWA PESA ZAO KWA MAANA WAKOPAJI PIA WANAENDA BANK KUTANGAZA KUWA KADI ZAO ZIMEPOTEA HIVYO KUFUNGIWA NA KUPEWA MPYA..

MWISHO KABLA HAMJAWEKA KITU HAPA TAFUTENI DATA SAHIHI ILI WASIOJUA ABCD YA KITU WAWEZE FAHAMU JAPO KWA UCHACHE..
 
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitaperi kwa wananchi. Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
Hilo jamaa ni Poyoyo kabisa aisee
 
Ila wakopaji nao hawako makini, kwa nini kabla ya kuchukua pesa wasisome terms and conditions na kuzielewa??
 
Elezea uongo uko wapi, hii Dunia Ina mambo mengi hebu pinga kwa facts...
ni kweli hapa hoja ya msingi ni kuwa je mambo haya yapo? mi nishashuhudia mstaafu amekopeshwa mpaka anapata hela yake akawa hoi
 
Ukikubali hii chai na wewe utakuwa mwendawazimu, huo mkopo umelipwa kwa miaka mingapi?
Kwani alikopa lini labda mwaka 2000...
Sijakubali hii Chai ila natambua Dunia hii mbinu za utapeli ni mob
 
mkuu ni sehemu yao nini? umekuwa mkali sana. Wakuu wa mikoa mingine waige hawa watu wanamatawi mikoa yote, mikataba haramu mingine mpaka hakimu anahusishwa. nimesoma mahali mkataba hauwezi kuwa halali kama kinachoingiwa mkataba ni haramu.

Back
Top Bottom